State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amewatembelea Wagonjwa Hospitali ya Rufaa Mnazi Mmoja na ya Lumumba

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mmoja wa Wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Lumumba ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Ndg. Ibrahim Ali Suleiman,akiwa katika utaratibu wake kuwatembelea wagongwa na kuwajulia halo zao leo 19-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mmoja wa mgonjwa aliyelazwa katika hospitali ya Rufaa ya Lumumba Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Ndg. Ibrahim Ali Suleiman,akiwa katika utaratibu wake kuwatembelea Wagonjwa na kuwajulia hali zao.leo 19-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mmoja wa Wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Lumumba ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Ndg. Ibrahim Ali Suleiman,akiwa katika utaratibu wake kuwatembelea wagongwa na kuwajulia halo zao leo 19-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ndg.Haruna Juma Hassan, aliyelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar,katika jengo la Mapinduzi Mpya, akipata matibabu, akiwa katika utaratibu wake wa kuwatembelea Wagonjwa na kuwajulia hali zao katika hospitali mbalimbali leo 19-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mmoja wa wagonjwa Haruna Juma Hassan,aliyelazwa katika Hospitali ya Rufaa Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar,katika jengo la Mapinduzi mpya, akiwa katika wake kuwatembelea Wagonjwa na kuwajulia hali zao leo 19-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ndg.Haruna Juma Hassan, aliyelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar,katika jengo la Mapinduzi Mpya, akipata matibabu, akiwa katika utaratibu wake wa kuwatembelea Wagonjwa na kuwajulia hali zao katika hospitali mbalimbali leo 19-9-2024

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Nchini India Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akibadilisha mawazo na Wafanyabiasha mbalimbali kutoka Nchini India walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 17-9-2024 kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wafanyabiashara mbalimbali kutoka Nchini India, ukiongozwa na Rajiv Desai (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 17-9-2024

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na nakala ya Jarida la BlitzIndia baada ya kulizindua leo 17-9-2024, litakaloitangaza kimataifa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla katika sekta ya Utamaduni, Uchumi na Utalii na (kulia kwa Rais) Kiongozi wa Ujumbe huo Rajiv Desai na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti na Mhariri Mtendaji wa Jarida hilo Deepak Dwivedi, baada ya kumaliza mazungumzo na Ujumbe wa Wafanyabishara mbalimbali kutoka Nchini India yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wafanyabiashara mbalimbali kutoka Nchini India, ukiongozwa na Rajiv Desai (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 17-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wafanyabiashara mbalimbali kutoka Nchini India, ukiongozwa na Rajiv Desai (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 17-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo wake Ujumbe wa Wafanyabiashara mbalimbali kutoka Nchini India ukiongozwa na Kiongozi wa Ujumbe huo Rajav Desai (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 17-9-2024

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua mkutano wa tatu wa Kituo cha ZRCP katika Ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Utafiti wa Wazalishaji Wanaoibuka Zanzibar, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Kituo cha Utafiti za Maendeleo ya Kijamii, Uchumi na Uchambuzi wa Sera Zanzibar (ZRCP) Prof Mohammed Hafidh Khalfan, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Kituo cha Utafiti Masuala ya Kijamii Zanzibar (ZRCP) uliyofanyika leo 17-9-2024 katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Tatu wa Kituo cha Utafiti za Maendeleo ya Kijamii, Uchumi na Uchambuzi wa Sera Zanzibar (ZRCP) kwa kushirikiana na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuufungua mkutano huo, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 17-9-2024, kuzungumzia “Matumizi ya Teknolojia katika kuongeza ubunifu ili kuweza kuchokea uazishaji wa Taasisi changa na zinazoinukia”
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Tatu wa Kituo cha Utafiti za Maendeleo ya Kijamii, Uchumi na Uchambuzi wa Sera Zanzibar (ZRCP) kwa kushirikiana na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuufungua mkutano huo, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 17-9-2024, kuzungumzia “Matumizi ya Teknolojia katika kuongeza ubunifu ili kuweza kuchokea uazishaji wa Taasisi changa na zinazoinukia”
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi, akihutubia na kuufungua Mkutano wa Tatu wa pamoja Kati ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar na Kituo cha Utafiti za Maendeleo ya Kijamii, Uchumi na Uchambuzi wa Sera Zanzibar (ZRCP) uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 17-9-2024
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Tatu wa Kituo cha Utafiti za Maendeleo ya Kijamii, Uchumi na Uchambuzi wa Sera Zanzibar (ZRCP) kwa kushirikiana na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuufungua mkutano huo, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 17-9-2024, kuzungumzia “Matumizi ya Teknolojia katika kuongeza ubunifu ili kuweza kuchokea uazishaji wa Taasisi changa na zinazoinukia”.
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Tatu wa Kituo cha Utafiti za Maendeleo ya Kijamii, Uchumi na Uchambuzi wa Sera Zanzibar (ZRCP) kwa kushirikiana na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuufungua mkutano huo, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 17-9-2024, kuzungumzia “Matumizi ya Teknolojia katika kuongeza ubunifu ili kuweza kuchokea uazishaji wa Taasisi changa na zinazoinukia”
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akihutubia na kuufungua Mkutano wa Tatu wa pamoja Kati ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar na Kituo cha Utafiti za Maendeleo ya Kijamii, Uchumi na Uchambuzi wa Sera Zanzibar (ZRCP) uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 17-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiambatana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,kulia kwa Mheshimiwa Rais wakielekea katika ukumbi wa mkutano katika Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Zanzibar, kwa ajili ya ufungua wa Mkutano wa Tatu wa Pamoja Kati ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar na Kituo cha Utafiti za Maendeleo ya Kijamii, Uchumi na Uchambuzi wa Sera Zanzibar (ZRCP).
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Tatu wa Kituo cha Utafiti za Maendeleo ya Kijamii, Uchumi na Uchambuzi wa Sera Zanzibar (ZRCP) kwa kushirikiana na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuufungua mkutano huo, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 17-9-2024, kuzungumzia “Matumizi ya Teknolojia katika kuongeza ubunifu ili kuweza kuchokea uazishaji wa Taasisi changa na zinazoinukia”

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezindua Ripoti ya Utafiti wa Jilojia na Utafiti wa Madini Zanzibar katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar.

  • BAADHI ya Wageni waalikwa, Viongozi wa Wizara na Wafanyakazi wa Wizara ya Maji,Nishati na Madini Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuzinduwa Ripoti ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Zanzibar, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 12-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akionesha Kitabu cha Ripoti ya Utafiti wa Jiolojia na Utafiti wa Madini Zanzibar, baada ya kuizindua leo 12-9-2024, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kulia kwa Rais) Waziri wa Maji,Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Shaibu Hassan Kaduara
  • BAADHI ya Wageni waalikwa, Viongozi wa Wizara na Wafanyakazi wa Wizara ya Maji,Nishati na Madini Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuzinduwa Ripoti ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Zanzibar, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 12-9-2024
  • BAADHI ya Wageni waalikwa, Viongozi wa Wizara na Wafanyakazi wa Wizara ya Maji,Nishati na Madini Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuzinduwa Ripoti ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Zanzibar, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 12-9-2024
  • WENYEVITI wa Bodi za Taasisi za Wizara ya Maji Nishati na Madini Zanzibar wakifuatilia hafla ya Uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa Jiolojia na Utafiti wa Madini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani ) akihutubia na kuizindua ripoti hiyo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 12-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akionesha Kitabu cha Ripoti ya Utafiti wa Jiolojia na Utafiti wa Madini Zanzibar, baada ya kuizindua leo 12-9-2024, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kulia kwa Rais) Waziri wa Maji,Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Shaibu Hassan Kaduara.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizindua Ripoti ya Utafiti wa Jiolojia na Utafiti wa Madini Zanzibar, hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika leo 12-9-2024 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kushoto ) Waziri wa Maji,Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Shaibu Hassan Kaduara.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Ripoti ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Zanzibar, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 12-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Vitabu vya Ripoti ya Utafiti wa Jiolojia na Utafiti wa Madini Zanzibar, akikabidhiwa na Waziri wa Madini wa Tanzania Mhe. Anthony Mavunde, wakati wa hafla ya uzinduzi wa ripoti hiyo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 12-9-2024
  • BAADHI ya Wageni waalikwa, Viongozi wa Wizara na Wafanyakazi wa Wizara ya Maji,Nishati na Madini Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuzinduwa Ripoti ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Zanzibar, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 12-9-2024
  • BAADHI ya Wageni waalikwa, Viongozi wa Wizara na Wafanyakazi wa Wizara ya Maji,Nishati na Madini Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuzinduwa Ripoti ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Zanzibar, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 12-9-2024
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, akipokewa na viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika Hoteli ya Golden Tulip, Airport, kuzindua Ripoti ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Zanzibar iliyoandaliwa na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi atembelea Bandari ya Maputo Msumbiji 8-9-2024

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mtambo wa kubebea na kushusha mizigo katika Meli Bandari ya Maputo Msumbiji, wakati wa ziara yake kutembelea Bandari hiyo leo 8-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Dk.Mateus Magala, wakati wa ziara yake kutembelea Bandari ya Maputo Msumbiji leo 8-9-2024, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mtambo wa kubebea na kushusha mizigo katika Meli Bandari ya Maputo Msumbiji, wakati wa ziara yake kutembelea Bandari hiyo leo 8-9-2024