State House Blog

Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji Mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi katika viwanja vya Matora nchini Msumbiji.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akizungumza na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi akiwa na Mkewe Mama Isaura Nyusi, wakiondoka katika uwanja wa mpira wa Matora baada ya kumalizika kwa Maadhimisho ya sherehe za Miaka 50 ya Ushindi wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji iliyofanyika katika uwanja huo leo 7-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Ushindi wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji, maadhimisho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya mpira Matora Msumbiji leo 7-9-2024
  • BAADHI ya Askari walioshiriki katika mapambano ya kuikomboa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji, wakishiriki katika gwaride maalumu la Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 50 ya Ushindi wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji wakipita katika jukwaa kuu la Viongozi katika uwanja wa mpira matora Msumbiji, wakati wa maadhimisho hayo yaliyofanyika leo 7-9-2024

  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Ushindi wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji, yaliyofanyika katika viwanja vya mpira Matora Msumbiji leo 7-9-2024
  • WANANCHI wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji wakimsikiliza mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Ushindi wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji, katika viwanja vya mpira Matora Msumbiji leo 7-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, mgeni rasmin katika Sherehe za Maadhimisho ya Miako 50 ya Ushindi wa Msumbiji, akimsikiliza mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi akielezea picha mbalimbali wakati akitembelea maonesho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya mpira Matora Msumbiji leo 7-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, mgeni rasmin katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Ushindi wa Msumbiji, akipata maelezo ya picha mbalimbali za historia ya ukombozi wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji, wakati akitembelea maonesho hayo katika viwanja vya mpira Matora Msumbiji, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa Mshumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi akiwa na Mkewe Mama Isaura Nyusi, wakisalimiana na Wananchi baada ya kumalizika kwa hafla ya uwekaji wa Shada la Maua katika Mnara wa Mashujaa katika viwanja vya Matora Msumbiji leo 7-9-2024, wakati wa Sherehe za Maadhinisho ya Ushindi wa Msumbijin
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiangalia ngoma za Utamaduni wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji,baada ya kumalizika kwa uwekaji wa Shada la Maua katika Mnara wa Mashujaa Viwanja vya Matora, wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Ushindi wa Msumbiji yaliyofanyika leo 7-9-2024, na (kushoto kwa Rais) mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiangalia ngoma za Utamaduni wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji,baada ya kumalizika kwa uwekaji wa Shada la Maua katika Mnara wa Mashujaa Viwanja vya Matora, wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Ushindi wa Msumbiji yaliyofanyika leo 7-9-2024, na (kushoto kwa Rais) mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiangalia ngoma za Utamaduni wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji,baada ya kumalizika kwa uwekaji wa Shada la Maua katika Mnara wa Mashujaa Viwanja vya Matora, wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Ushindi wa Msumbiji yaliyofanyika leo 7-9-2024, na (kushoto kwa Rais) mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiangalia ngoma za Utamaduni wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji,baada ya kumalizika kwa uwekaji wa Shada la Maua katika Mnara wa Mashujaa Viwanja vya Matora, wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Ushindi wa Msumbiji yaliyofanyika leo 7-9-2024, na (kushoto kwa Rais) mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo na Rais wa Msumbiji Mge Nyusi Ikulu mjini Maputo Msumbiji.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi (kulia ) akiwa na Ujumbe wake mazungumzo hayo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Maputo Msumbiji l 7-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi (kulia ) akiwa na Ujumbe wake mazungumzo hayo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Maputo Msumbiji leo 7-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi (kulia ) akiwa na Ujumbe wake mazungumzo hayo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Maputo Msumbiji leo 7-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi na wageni mbalimbali katika hafla ya chakula maalumu, kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi, katika ukumbi wa Ikulu Maputo, baada ya kumalizika kwa hafla ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 50 ya Ushindi wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji, iliyofanyika katika viwanja vya Matola Msumbiji leo 7-9-2024
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Mke wa Rais wa Msumbiji Mama Isaura Nyusi, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Maputo Msumbiji leo 7-9-2024
  • RAIS wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi akizungumza na Viongozi mbalimbali waalikwa wakati wa chakula maalumu ,alichowaandalia baada ya kumalizika kwa hafla ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 50 ya Ushindi wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji,kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Maputo Msumbiji leo 7-9-2024
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mke wa Rais wa Msumbiji Mama Isaura Nyusi wakiburudika wakati msanii akitowa burudani wakati wa hafla ya chakula maalumu kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi,katika ukumbi wa Ikulu Maputo Msumbiji leo 7-9-2024.