State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amejumuika na Wananchi katika Maziko ya muasisi wa UWT Zanzibar marehemu Asha Simba Makwega.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi na Viongozi mbalimbali katika kuitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi, ya kumuombea Marehemu Asha Simba Makwega Muasisi wa UWT pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,baada ya kumlizika kwa Sala hiyo iliyofanyika,katika Msikiti wa Maisara Wilaya ya Mjini Unguja na kuzikwa Kijijini kwao Pete Mkoa wa Kusini Unguja leo 8-5-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kutowa mkono wa pole kwa Wanafamilia ya Marehemu Asha Simba Makwega, baada ya kumalizika kwa maziko hayo yaliyofanyika katika Kijiji cha Pete Mkoa wa Kusini Unguja leo 8-5-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka udongo katika kaburi likiwa na mwili wa marehemu Asha Simba Makwega, Muasisi wa UWT pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, wakati wa maziko yake yaliyofanyika kijijini kwao Pete Mkoa wa Kusini Unguja leo 8-5-2024

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na ujumbe wa Kampuni ya WAPCOS Ikulu Zanzibar leo tarehe 07-05-2024.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya WAPCOS kutoka Nchini India Bw. Rajni Kant Agrawal , baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-5-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum ya Kitabu kinachoelezea kampuni ya WAPCOS na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Bw.Rajni Krant Agrawal, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-5-2024

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na ujumbe wa Kampuni ya WAPCOS Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum ya Kitabu kinachoelezea kampuni ya WAPCOS na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Bw.Rajni Krant Agrawal, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-5-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya WAPCOS kutoka Nchini India Bw. Rajni Kant Agrawal , baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-5-2024

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amejumuika na Wananchi katika Ibada ya Sala ya Ijumaa Msikiti wa Mchangani Unguja.

  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia,baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Mchangani Wilaya Mjini Unguja leo 3-5-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Kiislam katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwac Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Mchangani bWilaya ya Mjini Unguja leo 3-5-2024 na (kushoto kwa Rais) Imamu wa Msikiti wa Mchangani Sheikh Farid Hadi Ahmed
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Imamu Mkuu wa Msikiti wa Mchangani Wilaya ya Mjini Unguja Sheikh.Farid Hadi Ahmed alipowasili katika viwanja vya msikiti huo kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 3-5-2024,na (kushoto kwa Rais) Ustadh Abdalla Issa na (kulia kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi.
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia,baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Mchangani Wilaya Mjini Unguja leo 3-5-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa salamu na kuzungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Mchangani Wilaya ya Mjini Unguja leo 3-5-2024