Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amejumuika na Viongozi na Wananchi katika Kisomo cha Dua kumuombea Baba yake Mzazi katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
08 Apr 2024
10
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Rais wa Zanzibar Mstaafu Alhajj Dkt.Amani Abeid Karume,baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan. Mhe Hafidh Ameir,baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa shukrani kwa Serikali na Wananchi,baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Dua ya kumuombea Baba yake Mzazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
VIONGOZI wa Serikali, Wanafamilia na Wananchi mbalimbali waliohudhuria Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa kisomo hicho na Iftar, kilichofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi na Wananchi katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman, baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa shukrani kwa Serikali na Wananchi,baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Dua ya kumuombea Baba yake Mzazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa shukrani kwa Serikali na Wananchi,baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Dua ya kumuombea Baba yake Mzazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali na Wananchi katika kuitikia dua ya kuhitimisha Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi.
BAADHI ya Wananchi wa Jiji la Zanzibar wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Familia yake katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Baba yake Mzazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwake) Mjane wa Rais Mstaafu wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Ali Hassan Mwinyi Mama Siti Mwinyi na (kushoto kwake) Mjane wa Rais Mstaafu wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi Mama Khadija Mwinyi, wakijumuina na Viongozi na Wananchi wa Zanzibar katika Kisomo cha Dua na Hitma ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi,iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
SHEIKH Abdulrahaman Dedesi akiongoza kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika jana 7-4-2024, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
VIONGOZI wa Serikali na Chama wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Familia yake katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Baba yake Mzazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
BAADHI ya Wananchi wa Jiji la Zanzibar wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Familia yake katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Baba yake Mzazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
BALOZI Mdogo wa Oman anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe.Said Salim Al Sinawi, Masheikh na Wananchi wa Zanzibar wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Familia ya Marehemu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi,katika kisomo cha Dua ya kumuombea, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi ameongoza Wananchi katika kisomo cha Hitma ya Dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Sheikh. Abeid Amani Karume Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
07 Apr 2024
10
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi Wakuu wa Serikali Wananchi wa Zanzibar katika Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume, iliyofanyika leo 7-4-2024, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi na Wananchi wa Zanzibar katika Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume, iliyofanyika leo 7-4-2024, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi kwa ajili ya Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume, iliyofanyika leo 7-4-2024,katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Alhajj Dkt.Mohammed Said Dimwa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia fatha wakati Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi akitia ubani kwa ajili ya kuaza kwa Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume, iliyofanyika 7-4-2024 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia fatha wakati Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi akitia ubani kwa ajili ya kuaza ka Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume, iliyofanyika leo 7-4-2024 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Philip Isdor Mpango.
RAIS wa Zanzibar Mstaafu Alhajj Amani Abeid Karume akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Alhajj Dkt.Mohammed Said Dimwa alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kuhudhuria Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume, iliyofanyika leo 7-4-2024 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Alhajj Dkt.Mohammed Said Dimwa na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kuhudhuria Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume, iliyofanyika leo 7-4-2024 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar
WAZIRI Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alhajj Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Alhajj Dkt.Mohammed Said Dimwa alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kuhudhuria Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume, iliyofanyika leo 7-4-2024 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar
Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amefungua Kongamano la Kiimani kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
06 Apr 2024
25
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Kongamano la Kiimani kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 6-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Kongamano la Kiimani kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 6-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Kongamano la Kiimani kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 6-4-2024
MASHEIKH Waliotowa Mada katika Kongamano la Kiimani kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia katika Kongamano hilo ililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 6-4-2024
MAWAZIRI wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Watendaji mbalimbali wa Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati akihutubia katika Kongamano la Kiimani kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, lililofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 6-4-2024
WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia katika Kongamano la Kiimani kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) ililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 6-4-2024
SHEIKH Nourdeen Kishki akitowa Mada kuhusu Umoja na Mshikamano, wakati wa Kongamano la Kiimani kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 6-4-2024
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Mwinyi amejumuika na Viongozi wa CCM na Wafanyakazi wa CCM Zanzibar katika Iftar aliyowaandalia katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwa
05 Apr 2024
9
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na kuwasalimia Viongozi wa CCM na Wafanyakazi baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftar maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja iliyofanyika jana 5-4-2024
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mstaafu Balozi Seif Ali Iddi, baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftar Maalum iliyoandaliwa kwa Viongozib wa CCM na Wafanyakazi wa CCM Zanzibar, iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 5-4-2024
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, akijumuika na Viongozi wa CCM na Wafanyakazi wa CCM Zanzibar, katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa,baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftar maalum iliyofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 5-4-2024.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na kuwasalimia Viongozi wa CCM na Wafanyakazi baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftar maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja iliyofanyika jana 5-4-2024
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa na Viongozi wa CCM, alipowasiliu katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kwa ajili ya Iftar maalum aliyowaandalia Viongozi wa CCM na Wafanyakazi wa CCM Zanzibar, iliyofanyika jana 5-4-2024 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkaribisha Tende kufungulia saumu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, wakati wa hafla ya Iftar Maalum iliyoandaliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,kwa Viongozi wa CCM na Wafanyakazi wa CCM Zanzibar, iliyofanyika jana 5-4-2024, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.