JIWE LA MSINGI UJENZI WA HOTELI YA ZANZIBAR CROWN AND RESORT LIMITED.
07 Jan 2024
63
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, leo ameweka jiwe la msingi Jengo hili la Hoteli ya Nyota Tano ya Zanzibar Crown Hotel and Resort Limited liliopo Mazizini Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Viongozi na Wananchi na WanaCCM waliohudhuria katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Jengo la Hoteli ya Nyota Tano ya Zanzibar Crown Hotel and Resort Limited,wawekezaji kutoka Nchini New Zealand jengo liliopo Mazizini Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akimsikiliza Mwekezaji wa Mradi wa Hoteli ya Nyota Tano ya Crown Hotel and Resort Zanzibar Makamo Rais ,Bw.Laurent Voivenel alipokuwa akielezea hatua mbali mbali za Hoteli hiyo iytakapo malizika ujenzi wake katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar Mazizini Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti na Mwekezaji wa Hoteli ya Nyota Tano ya Zanzibar Crown Hotel and Resort Limited Bw.Nadhim Al Rawahi alipowasili katika uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa Hoteli hiyo leo Mazizini Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (katikati) Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Ndg. Shariff Ali Shariff (kulia) Rais na Mwenyekiti wa Swiss-Belhotel International Nchini New Zealand Bw.Gavin M.Faull
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) akiondosha pazia na Mwenyekiti na Mwekezaji wa Hoteli ya Nyota Tano ya Zanzibar Crown Hotel and Resort Limited Bw.Nadhim Al Rawahi kama ishara ya uwekaji wa jiwe la Msingi Hoteli hiyo leo Mazizini Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
JIWE LA MSINGI SOKO LA MWANAKWEREKWE
06 Jan 2024
62
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) akifungua pazia kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa soko la Mwanakwerekwe katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa na Mkwewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Viongozi wengine, mara baada ya kuweka jiwe la Msingi ametembelea Soko hilo la Mwanakwerekwe na kuangalia maendeleo ya Ujenzi huo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Kanali Makame Abdalla Daima (kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohamed katika uwekaji wa jiwe la msingi Soko la Mwanakwerekwe katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Baadhi ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM wakishangilia na Kumpongeza Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipowasili katika uwanja wa soko la Mwanakwerekwe baada ya kuweka jiwe la msingi leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa na Mkwewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Viongozi wengine akipata maelezo kutoka kwa Meneja Shadya Fauziy Mohamed wakati alipokuwa akiangalia michoro ya Soko la Mwanakwerekwe leo alipoweka jiwe la Msingu Ujenzi huo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na wananchi waliohudhuria katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi soko la Mwanakwerekwe katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, akifuatana na Mkewe Rais Mama Mariam Mwinyi (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe Idrissa Kitwana Mustafa (kushoto).
MATEMBEZI NA MAZOEZI YA VIUNGO
01 Jan 2024
58
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake kwa wanamichezo baada ya matembezi yaliyoanzia Mnara wa Mapinduzi Square hadi Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Vikundi mbali mbali vya mazoezi ya Viungo wakinyoosha na kupasha mwili mara baada ya matemezi yalioongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, yaliyoanzia Mnara wa Mapinduzi Square hadi Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Vijana wa Vikundi mbali mbali wakipita kumsalimia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi pamoja na Viongozi wengine katika Uwanja wa Amaan baada ya kumaliza matembezi yaliyoanzia Mnara wa Mapinduzi Square hadi Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kushoto) wakiwapungia mikono wanamichezo wa vikundi mbali mbali wakipita mbele ya Jukwaa la VIP kwa maandamano wakimalizia matembezi yaliyoanzia Mnara wa Mapinduzi Square hadi Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi sambamba na Mazoezi ya Viungo ,katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Viongozi wengine akiwepo Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla (kulia) wakifanya mazoezi ya Viungo katika Uwanja wa Amaan baada ya kumaliza matembezi yaliyoanzia Mnara wa Mapinduzi Square hadi Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) akiongoza matembezi sambamba na Mazoezi ya Viungo yaliyoanzia Mnara wa Mapinduzi Square hadi Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Viongozi wengine akiwepo Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla (kulia) wakifanya mazoezi ya Viungo katika Uwanja wa Amaan baada ya kumaliza matembezi yaliyoanzia Mnara wa Mapinduzi Square hadi Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wanamichezo mbalimbali katika Tamasha la Mazoezi ya Viungo, baada ya kumaliza matembezi yaliyoazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja na kumalizikia katika uwanja New Amaan Complex Zanzibar kwa mazoezi ya pamoja ya viungo yaliyofanyika leo 1-1-2024, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa ZABESA Ndg.Said Suleiman
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Wanamichezo katika Tamasha la Kitaifa la mazoezi ya Viungo Zanzibar, lililoazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja na kumalizikia katika uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar kwa mazoezi ya pamoja ya viungo yaliyofanyika leo 1-1-2024 ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na (kulia kwa Rais).Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa ZABESA Ndg. Said Suleiman na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla

WANANCHI wa mitaa ya Amani Unguja wakimsalimia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati akiongoza matembezi ya Tamasha la Kitaifa la mazoezi ya Viungo, lililoazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja na kumalizikia katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar kwa mazoezi ya pamoja ya viungo yaliyofanyika leo 1-1-2024.
MWANANCHI wa mtaa wa mikunguni Unguja akiwa amembeba mtoto wake wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi , akiongoza Wanamichezo katika Tamasha la Kitaifa la matembezi na mazoezi ya viungo, lililoazia katika viwanja vya Michezani Square Wilaya ya Mjini Unguja na kumalizikia katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, kwa mazoezi ya pamoja ya viungo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwasalimia Wananchi wakati wakipita katika mitaa ya barabara ya muembemimba, wakiwa katika Tamasha maalum la matembezi na mazoezi ya viungo, lililoazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani na kumalizikia katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja kwa mazoezi ya pamoja ya viungo