State House Blog

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AZINDUA MUONGOZO WA UWEKEZAJI ZANZIBAR NA MFUMO WA KIELETRONIKI WA (ZIPA ZANZIBAR

  • WAGENI waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA), wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-3-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi Maalum na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar.Mhe. Mudrik Ramadhan Songa , wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) na Siku ya Uwekezaji Zanzibar, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-3-2023 Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais. Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga na Mkurugenzi Mtendaji wa (ZIPA) Bw. Shariff Ali Shariff, baada ya kuzindua Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) na Siku ya Uwekezaji Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-3-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-3-2023.
  • BAADHI ya Mawaziri na Wageni Waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA ) sambamba na maadhimisho ya Siku ya Uwekezaji Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-3-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-3-2023
  • WAGENI waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA), wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-3-2023
  • BAADHI ya Mawaziri na Wageni Waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA ) sambamba na maadhimisho ya Siku ya Uwekezaji Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-3-2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti cha Shukurani Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga (katikati) katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kielektroniki wa Zipa uliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki (wa pili kulia) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kulia)Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia katibu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, (kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti cha Shukurani Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kulia) katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kielektroniki wa Zipa uliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki (kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi akipokea zawadi maalum kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga, katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kielektroniki wa Zipa uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kielektroniki wa Zipa uliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamakileo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kielektroniki wa Zipa uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamakileo
  • Wadau mbali mbali katika sekta ya Utalii wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kielektroniki wa Zipa uliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki.
  • Pichani ni Baadhi ya Wataalam wa mfumo wa Kielektroniki wa Zipa wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kielektroniki wa Zipa uliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki

Rais Dk.Mwinyi akiwaapisha Makamishna.

  • Baadhi ya Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Makamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umaa, iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Bi.Asha Khamis Hamad akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
  • VIONGOZI wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakiwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi.Asha Khamis Hamad kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi.Asha Khamis Hamad kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
  • Bw.Yahout Hassan Yakout akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj. Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj .DK. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bw.Yahout Hassan Yakout kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
  • Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakipiga saluti wakati Wimbo wa Taifa Ukipigwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kulia)Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu Mhe.Jamali Kassim Ali,wakiwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) pamoja na Viongozi mbali mbali wakisimama Wimbo wa Taifa Ukipigwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYTI AMEFANYA ZIARA YA KUSHTUKIA MRADI WA UJENZI WA SOKO LA KISASA CHUINI UNGUJA LEO.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa maelekezo kwa Wajenzi wa Mradi wa Soko la Kisasa Chuini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja wakati wa ziara yake ya kushtukiza, kutembelea ujenzi wa Mradi huo 4-3-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohammed, wakati wa ziara yake ya kustukiza kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Soko la Kisasa Chuini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo 4-3-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Wakala wa Mejengo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.Mhandisi Mansour Mohammed Kassim akitowa maelezo ya Kitaalum ya ujenzi huo, wakati alipofanya ziara ya kustukiza kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Soko la Kisasa Chuini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo 4-3-2023 kujionea maendeleo ya ujenzi wa mradi huo.
  • MAFUNDI wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Zanzibar, wakiendelea na uwekaji wa nondo katika Mradi wa Ujenzi wa Soko la Kisasa Chuini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja.

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AMEFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA UJENZI WA MRADI WA SOKO LA KISASA JUMBI UNGUJA

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na Kamishna wa Chuo Cha Mafunzo Zanzibar Luteni Kanali-Khamis Bakar Khamis, wakati wa ziara yake ya kushtukiza kutembelera Mradi wa Ujenzi wa Soko la Kisasa Jumbi Wilaya ya Magharibi “B”Unguja 4-3-2023, kuangalia maendeleo ya ujenzi wa Soko hilo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Kamishna wa Chuo Cha Mafunzo Zanzibar Luteni Kanali - Khamis Bakar Khamis, akitowa maelezo ya Ujenzi wa Mradi wa Soko la Kisasa Jumbi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, akiwa katika ziara yake ya kushtukiza,linalojengwa na Kikosi cha Chuo cha Mafunzo Zanzibar na (kulia kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Masoud Ali Mohammed
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa maelekezo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Masoud Ali Mohammed (kulia kwa Rais) na Kamishna wa Chuo Cha Mafunzo Zanzibar Luteni Kanali.-Khamis Bakar Khamis, baada ya kumaliza kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Soko la Kisasa Jumbi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 4-3-2023, alipofanya ziara ya kushtukiza

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI ATEMBELEA UJENZI WA MRADI WA SOKO LA KISASA MWANAKWEREKWE UNGUJA LEO.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ziara yake ya kushtukiza kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Soko la Kisasa Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 4-3-2023, na (kushoto kwa Rais) MKUU wa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Kanali Makame Abdalla Daima. Mradi wa ujenzi huo unaojengwa na JKU.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya Ujenzi wa Mradi wa Soko la Kisasa Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Kanali Makame Abdallah Daima.(kushoto kwa Rais) wakati wa ziara yake ya kushtukiza aliyoifanya leo 4-3-2023, kutembelea Mradi huo kujionea maendeleo ya ujenzi wake
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya Ujenzi wa Mradi wa Soko la Kisasa Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Kanali Makame Abdallah Daima.(kushoto kwa Rais) wakati wa ziara yake ya kushtukiza aliyoifanya leo 4-3-2023, kutembelea Mradi huo kujionea maendeleo ya ujenzi wake
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya Ujenzi wa Mradi wa Soko la Kisasa Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Kanali Makame Abdallah Daima.(kushoto kwa Rais) wakati wa ziara yake ya kushtukiza aliyoifanya leo 4-3-2023, kutembelea Mradi huo kujionea maendeleo ya ujenzi wake