Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amepiga kura kumchagua Mwenyekiti wa CCM Tawi la Kilimani.
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akipiga kura yake kumchagua Mwenyekiti wa Tawi la Chama Cha Mapinduzi Kilimani na Wajumbe wake, uchaguzi huo uliofanyika leo 5-6-2022, katika ukumbi wa Tawi hilo Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja leo 5-6-2022.
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Tawi la CCM Kilimani wakati wa zoezi la Uchaguzi kumchagua Mwenyekiti wa Tawi la CCM Kilimani na Wajumbe wa Tawi, uchaguzi huo uliofanyika leo 5-6-2022 katika ukumbi wa Tawi hilo Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja.
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akipiga kura yake kumchagua Mwenyekiti wa Tawi la Chama Cha Mapinduzi Kilimani na Wajumbe wake, uchaguzi huo uliofanyika leo 5-6-2022, katika ukumbi wa Tawi hilo Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja leo 5-6-2022.
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga Kura yake kumchagua Mwenyekiti wa CCM Tawi la Kilimani na Wajumbe wake, uchaguzi huo uliofanyika leo 5-6-2022, katika ukumbi wa Tawi hilo Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na uongozi wa Jumuiya ya Istiqaama Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kitabu kinachohusiana na Jumuiya ya Istiqaama, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislam ya Istiqaama Zanzibar, Sheikh.Salum Mohammed Salum, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Istiqaama Zanzibar Sheikh.Salum Mohammed Salum, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, leo 4-6-2022, na Ujumbe wa Jumuiya hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kiongozi wa Jumuiya ya Istiqaama Zanzibar Sheikh.Sultan Khamis Mbarouk akizungumzia changamoto za Jumuiya yao wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 4-6-2022, walipofika kujitambulisha na kuelezea kazi za Jumuiya yao kwa Jamii ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Ujumbe wa Jumuiya ya Istiqaama Zanzibar ukingozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Sheikh.Salum Mohammed Salum, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 4-6-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Istiqaama Zanzibar Sheikh.Salum Mohammed Salum, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, leo 4-6-2022, na Ujumbe wa Jumuiya hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kiongozi wa Jumuiya ya Istiqaama Zanzibar Sheikh.Sultan Khamis Mbarouk akizungumzia changamoto za Jumuiya yao wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 4-6-2022, walipofika kujitambulisha na kuelezea kazi za Jumuiya yao kwa Jamii ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezindua mradi wa kisasa wa michezo “Zanzibar International Criket Club And Sports Comlex” Fumba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa Mradi wa Kisasa wa Michezo “Zanzibar International Criket Club and Sports Complex” Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-6-2022, unaojengwa na Kampuni ya JHIL kutoka Nchini India.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa Mradi wa Kisasa wa Michezo “Zanzibar International Criket Club and Sports Complex” Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 3-6-2022, unaojengwa na Kampuni ya JHIL kutoka Nchini India.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Muwekezaji kutoka Nchini India Bw,.Sunil Monohar Gavaskar, wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya JHIL Enterprises kutoka India Bw. Jilesh Hitmat Babla, akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa mradi wa Kisaa wa Michezo “Zanzibar International Criket and Sports Comlex” unaojengwa katika eneo la Fumba Wilaya ya Magharibiu “B” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa Mradi wa Kisasa wa Michezo “Zanzibar International Criket Club and Sports Complex” Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-6-2022, unaojengwa na Kampuni ya JHIL kutoka Nchini India.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mwakilishi wa Kampuni ya JHIL kutoka India Bw,.Sunil Monohar Gavaskar, wakimsikiliza Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita, akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa mradi wa Kisaa wa Michezo “Zanzibar International Criket and Sports Comlex” unaojengwa katika eneo la Fumba Wilaya ya Magharibiu “B” Unguja.
WANANCHI wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihuubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa mradi wa kisasa wa michezo “Zanzibar International Ckriket Club and Spotrs Complex” Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-6-2022., unaojengwa na Wawekezaji kutoka Nchini India.