State House Blog

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Alhajj Dk Shein amelihutubia Baraza La Eid Alhajj Bumbwini

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein akielekea katika eneo maalum lililoandaliwa Gwaride maalum la FFU kwa ajili ya kupokea Salamu ya heshima baada ya kuwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mitihani wa Skuli ya Bumbwini Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja kuhudhuria Baraza la Eid Alhhaj
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein akiwahutubia Wananchi wa Zanzibar katika Baraza la Eid Alhajj lililofanyika Kitaifa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja katika ukumbi wa Mitihani Skuli ya Bumbwini
  • WAZIRI wa Sheria na Katiba Zanzibar Mhe. Khamis Juma Mwalim akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein,kulihutubia Baraza la Eid Alhajj lililofanyika katika ukumbi wa Mitihani Skuli ya Bumbwini Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ambae pia ni Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi, wakifurahia jambo baada ya kumalizika kwa hafla ya Baraza la Eid Alhajj lililofanyika katika ukumbi wa Mitihani wa Skuli ya Sekondari Mahonda.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein akipokea Salamu ya heshima kutoka katika Gwaride Maalum la Kikosi cha FFU, iliofanyika katika viwanja vya Ukumbi wa Mitihani wa Skuli ya Bumbwini Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja.

ALHAJJ DK. ALI MOHAMED SHEIN AJUMUIKA NA WAUMINI WA KIISLAM KATIKA SALA YA EID ALHA

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe AlhajjDk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibarkat ika Ibada ya Sala ya Eid Alhajj iliofanyika katika katika viwanja vya Misuka ahonda Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja, (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Spika wa Baraza la awakilishi Zanzibar.Mhe. Zuberi Ali Maulid (kulia kwa Rais) Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe. Khamis Juma Mwalim.
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid Alhajj iliofanyika katika Uwanja wa Msuka Mahonda Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakiungano na Waumini Duniani katika Idaba ya Sala ya Eid Alhajj, wakiwa katika Uwanja wa mpira wa Misuka Mahonda Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja wakimsiliza Sheikh Ahmeid Ashkina akisoma hutba hiyo (hayupo pichani) Sala ya Eid Alhajj mwaka huu Kitaifa imefanyika Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • SHEIKH Ahmed Ashkina askisoma Hutba ya Sala ya Eid Alhajj baada ya kumalizika kwa Sala hiyo iliofanyika Kitaifa Mkoa wa Kaskazini Unguja Wilaya ya Kaskazini “B”,katika uwanja wa mpira wa Misuka Mahonda.
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakiungano na Waumini Duniani katika Idaba ya Sala ya Eid Alhajj, wakiwa katika Uwanja wa mpira wa Misuka Mahonda Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja wakimsiliza Sheikh Ahmeid Ashkina akisoma hutba hiyo (hayupo pichani) Sala ya Eid Alhajj mwakahuu imefanyika Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja.
  • MASHEIKH wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja wakimsikilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaskazini “B” Kinduni
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Masheikh wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja katika ukumbi wa Halmashauri Wilaya Kinduni, baada ya kumaliza Sala ya Eid Alhajj iliofanyika katika Uwanja wa Mpira wa Misuka Mahonda.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheik. Hassan Othman Ngwali (hayupo pichani) na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora na Utumishi wa Umma Mhe. Haroun Ali Suleiman na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Dkt Hussein Mwinyi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akimsalimia Mtoto Ali Abdalla Hassan, baadaya kumalizikac kwa Sala ya Eid Alhajj iliofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Mpira wa Misuka Mahonda Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Alhajj iliofanyika Kitaifa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja katika Uwanja wa Mpira Mahonda.
  • SHEIKH Ahmed Ashkina askisoma Hutba ya Sala ya Eid Alhajj baada ya kumalizika kwa Sala hiyo iliofanyika Kitaifa Mkoa wa Kaskazini Unguja Wilaya ya Kaskazini “B”,katika uwanja wa mpira wa Misuka Mahonda
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheik. Hassan Othman Ngwali (hayupo pichani) na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora na Utumishi wa Umma Mhe. Haroun Ali Suleiman na (kulia kwa Rais)Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe. Khamis Juma Mwalim na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla ya Sala ya Eid Alhajj iliofanyika Kitaifa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja katika Uwanja wa mpira wa Misuka mahonda.
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid Alhajj iliofanyika katika Uwanja wa Msuka Mahonda Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja

Viongozi wa ndani na nje ya nchi wameungana pamoja kuuaga mwili wa Rais Mstaa Benjamin William Mkapa

  • RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa hashima ya mwisho kwa Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa, wakati wa hafla ya Kitaifa ya kuuaga mwili wa marehemu katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam leo 28/7/2020.
  • RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa hashima ya mwisho kwa Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa, wakati wa hafla ya Kitaifa ya kuuaga mwili wa marehemu katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam leo 28/7/2020.
  • MAKAMU wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan , akitowa heshima ya mwisho kwa mwili wa Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Tanzania Benjamin William Mkapa, wakati wa hafla ya kuuaga mwili wa marehemu Kitaifa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam leo
  • RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa hashima ya mwisho kwa Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa, wakati wa hafla ya Kitaifa ya kuuaga mwili wa marehemu katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam leo 28/7/2020.
  • MJANE wa Marehemu Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Tanzania Benjamin William Mkapa Mama Anna Mkapa akitowa heshima yake ya mwisho kwa mwili wa marehemu wakati wa hafla ya Kitaiga ya kuuaga mwili huo iliofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam leo 28/7/2020.
  • RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akitowa heshima ya mwisho kwa mwili wa Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Tanzania Benjamin William Mkapa, wakati wa hafla ya kuuaga mwili wa marehemu Kitaifa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam leo.
  • RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika hafla ya Kitaifa ya kuuaga mwili wa marehemu Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa, iliofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam leo 28/7/2020.
  • KIONGOZI wa Mabalozi Nchini Tanzania Balozi wa Comoro Nchini Tanzania akitowa salamu wakati wa hafla ya kuuaga mnwili wa Marehemu Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu Tanzania. Benjamin William Mkapa, katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam leo 28/7/2020
  • VIONGOZI wa Jukwaa Kuu wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa katika hafla ya Kitaifa ya kuuaga mwili wa Marehemu Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muunganio wa Tanzania Mhe. Benjamin William Mkapa, katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, wa kwanza kulia Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (kulia kwa Waziri Mkuu) Waziri Mkuu wa Burundi.Jenerali Alain Guillaume Bunyoni , Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara.Mhe. Philip Mangula na Waziri Mkuu Mstaaf Edward Lowasa.
  • BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Mawaziri wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli(hayupo pichani ) akihutubia katika hafla ya Kitaifa ya kuuaga mwili wa Marehemu Rais Mstaaf wa Tanzania Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa, iliofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam leo 28-7-2020.
  • RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa hashima ya mwisho kwa Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa, wakati wa hafla ya Kitaifa ya kuuaga mwili wa marehemu katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam 28/7/2020.
  • RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akitowa heshima ya mwisho kwa mwili wa Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Tanzania Benjamin William Mkapa, wakati wa hafla ya kuuaga mwili wa marehemu Kitaifa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam

Mapokezi ya Mgombea Urais Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi

  • Umoja wa wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa kama wanavyoonekanwa picha ni hawapo nyuma katika mapokezi ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi yaliyofanyika leo mara alipowasili akitokea Dodoma alikoteuliwa na Mkutano wa Halmashauri Mkuu ya CCM Taifa (NEC)
  • Vijana wa Kikundi cha CCM wakipiga Ngoma katika shamra shamra za mapokezi ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi yaliyofanyika leo mara alipowasili akitokea Dodoma alikoteuliwa na Mkutano wa Halmashauri Mkuu ya CCM Taifa (NEC)
  • Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wakiwa katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui wakati wa mapokezi ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi yaliyofanyika leo mara alipowasili akitokea Dodoma alikoteuliwa na Mkutano wa Halmashauri Mkuu ya CCM Taifa (NEC)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipokea zawadi iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Hai Ussi (GAVU) katika sherehe maalum mafanikio ya miaka 10 ya Uongozi wake iliyoandaliwa kwa Wizara zote za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walipomuaga rasmin leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
  • Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi kupitia CCM akiwapungia Mkono Wananchi mbali waliojipanga barabarani wakati wa mapokezi yake yaliyofanyika leo mara alipowasili akitokea Dodoma alipoteuliwa kuwa mgombea kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba mwaka huu.
  • Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi kupitia CCM akiwapungia Mkono Wananchi mbalimbali waliojipanga barabarani akiwa katika msafara wakati wa mapokezi yake yaliyofanyika leo mara alipowasili akitokea Dodoma alipoteuliwa kuwa mgombea kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba mwaka huu. * 3973 jpg //// **Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi kupitia CCM akiwapungia Mkono Wananchi mbalimbaliwaliojipanga barabarani** wakati wa mapokezi yake yaliyofanyika leo mara alipowasili akitokea Dodoma alipoteuliwa kuwa mgombea kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba mwaka huu.[Picha na Ikulu.] *
  • MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, akiwa katika gari maalum akiwapungia mikoni Wananchi wakati akipita katika barabara ya michezani akitokea Uwanja wa Ndege wa Zanzibar akielekea Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, wakati wa hafla ya mapokezi yake.
  • /Wapanda Pikipiki na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa katika msafara wa Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati wa mapokezi yake yaliyofanyika leo mara alipowasili akitokea Dodoma alipoteuliwa kuwa mgombea kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba mwaka huu.
  • Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa katika msafara wa Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati wa mapokezi yake yaliyofanyika leo mara alipowasili akitokea Dodoma alipoteuliwa kuwa mgombea kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba mwaka huu.
  • Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa katika msafara wa Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati wa mapokezi yake yaliyofanyika leo mara alipowasili akitokea Dodoma alipoteuliwa kuwa mgombea kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba mwaka huu.
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wanachama wa CCM na Wananhi wa Zanzibar wakati wa hafla ya mapokezi ya Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCMMAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wanachama wa CCM na Wananhi wa Zanzibar wakati wa hafla ya mapokezi ya Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM
  • WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi wakishangilia wakati wa hafla ya mapokezi ya Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe. Dkt.Hussein Ali Hassan Mwinyi (hayupo pichani) wakati akiwahutubia katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na kuagana na Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi , baada ya kumalizika kwa hafla ya mapokezi ya Mgombea Urais wa Zanzibar CCM, yaliofanyika katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akifurahia jambo na Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, wakati wa hafla ya mapokezi ya Mgombea yaliofanyika katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, wakati wa hafla ya mapokezi ya Mgombea Urais wa Zanzibar yaliofanyika katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
  • WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hafla mkutano wa mapokezi ya Mgombea Urais wa Zanzibar. Mhe.Dkt. Hussein Mwinyi katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
  • MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi akizungumza na Wanachama wa CCM Zanzibar katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar wakati wa hafla ya mapokezi akitokea Jijini Dodoma baada ya kumalizika kwa Mkutano Mkuu wa CCM wiki iliopita.
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wanachama wa CCM na Wananhi wa Zanzibar wakati wa hafla ya mapokezi ya Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi yaliofanyika katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
  • WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi wakishangilia wakati wa hafla ya mapokezi ya Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe. Dkt.Hussein Ali Hassan Mwinyi (hayupo pichani) wakati akiwahutubia katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, akimkaribisha ili kuzungumza na Wananchi na Wanachama wa CCM katika viwanja vya Afisi Kuu Kisiwandui Jijini Zanzibar wakati wa hafla ya mapokezi ya mgombea akitokea Jijini Dodoma.
  • MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya CCM Mhe.Dkt. Hussein Mwinyi akikabidhiwa Kishoka, Kipakacha na Kanga na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM Zanzibar Bi.Khadija Jabir baada ya kuwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar wakati wa mapokezi yake akitokea Jijini Dodoma.
  • MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya CCM Mhe.Dkt. Hussein Mwinyi akikabidhiwa Kishoka, Kipakacha na Kanga na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM Zanzibar Bi.Khadija Jabir baada ya kuwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar wakati wa mapokezi yake akitokea Jijini Dodoma.
  • MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya CCM Mhe.Dkt. Hussein Mwinyi akikabidhiwa Kishoka, Kipakacha na Kanga na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM Zanzibar Bi.Khadija Jabir baada ya kuwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar wakati wa mapokezi yake akitokea Jijini Dodoma.
  • MGOMBEA Urais wa Zanzibar CCM Mhe.Dkt. Hussein Mwinyi akiwa na baadhi ya Viongozi wakiitikia dua wakimuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika kaburi leke lililoko katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, (kushoto kwa Mgombea) Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Karume na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi na (kulia kwa Mgombea) Makamu wa Pili wa Rais wa Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zuberi Ali Maulid wakiitikia dua.
  • MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Cha Cha Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, akifungwa kiskafu na Kijana wa Chipukizi Zaadia Mbarak, baada ya kuwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, akitokea Mkoani Dodoma baada ya kumalizika kwa Mkutano Mkuu wa CCM.
  • WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi wakishangilia wakati wa hafla ya mapokezi ya Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe. Dkt.Hussein Ali Hassan Mwinyi (hayupo pichani) wakati akiwahutubia katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar

Dk.Shein amejumuika na waumini wa Dini ya Kiislam katika kisomo cha hitma ya Marehemu Nyanya

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj. Dk. Ali Mohamed Shein akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika kisomo cha Hitma kumuombea Dua Marehemu Haji Nassib Haji Nyanya na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali, kisomo hicho kimefanyika katika msikiti wa Ijumaa chuwini Wilaya ya Magharibi “A”
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj .Dk. Ali Mohamed Shein akiitikia dua ya kuhitimisha kisomo cha hitma ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, dua hiyo imefanyika katika Msikiti wa Ijumaa Chuwini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakishiriki katika kisomo cha hitma kumuombea dua Marehemu Haji Nassib Haji Nyanya kilichofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Chuwini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj .Dk. Ali Mohamed Shein akiitikia dua ya kuhitimisha kisomo cha hitma ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, dua hiyo imefanyika katika Msikiti wa Ijumaa Chuwini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiitikia dua ya kumuombea Marehemu Haji Nassib Haji Nyanya iliofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Chuwini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali (hayupo pichani)
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiitikia dua ya kumuombea Marehemu Haji Nassib Haji Nyanya iliofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Chuwini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali (hayupo pichani)
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj .Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa kisoma cha dua kumuombea Marehemu Haji Nassib Haji Nyanya, kilichofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Chuwini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja