Dk. Shein azungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba
09 Sep 2019
282
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti Rais wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Cuba Nchini Tanzania.Profesa Lucas Domingo Hemandez Polledo,alipofika Ikulu Zanzibar na Naibu Waziri wa Kwanza wa Wizara ya Mambo ya Nje Nchini Cuba. Mhe.Marcelino Medina Gonzelez,akiwa (katikati) hafla hiyo imefanyika 8,Septemba 2019 Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti Rais wa Baraza la Ma;pinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Cuba Nchini Tanzania.Profesa Lucas Domingo Hemandez Polledo,alipofika Ikulu Zanzibar na Naibu Waziri wa Kwanza wa Wizara ya Mambo ya Nje Nchini Cuba. Mhe.Marcelino Medina Gonzelez,akiwa (katikati) hafla hiyo iliyofanyika 8,Septemba 2019 Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.
Ali Mohamed Shein, akiwa na mgeni wake Naibu Waziri wa Kwanza wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Cuba. Mhe. Marcelino Medina Gonzalez, wakitoka katika ukumbi wa Ikulu baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika 8,Septemba 2019
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika mazungumzo na mgeni wake, Naibu Waziri wa Kwanza wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Cuba, Mhe.Marcelino Medina Gonzalez, kushoto Balozi Jamhuri ya Cuba Nchini Tanzania
Profesa.Lucas Damingo Hemandez Polledo,hafla hiyo imefanyika leo 8,Septemba 2019, Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein, akizungumza na Naibu Waziri wa Kwanza wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Cuba.Mhe. Marcelino Medina Gonzalez,alipofika Ikulu
Zanzibar kwa mazungumzo 8, Septemba 2019
Dk.Shein amewapongeza Wanafunzi waliofanya Mitihani ya Taifa.
09 Sep 2019
603
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akimzawadia Mwanafunzi Wahda Mbarak Uzia wa Skuli ya Sekondari ya Fedha katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi
waliofaulu Mitihani ya Taifa ya kidato cha Nne na Sita pamoja kuwaandalia chakula cha mchana katika hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar,(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pambe Juma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akimzawadia Mwanafunzi Ahmad Khamis Kassim wa Skuli ya Sekondari ya Limumba katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi
waliofaulu Mitihani ya Taifa ya kidato cha Nne na Sita pamoja kuwaandalia chakula cha mchana katika hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar,(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pambe Juma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akimzawadia Mwanafunzi Nasma Talib Saleh wa Skuli ya Sekondari ya SOS katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi
waliofaulu Mitihani ya Taifa ya kidato cha Nne na Sita pamoja kuwaandalia chakula cha mchana katika hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar,(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pambe Juma.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma
alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) wakati wa hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliofaulu Mitihani ya Taifa ya kidato cha Nne na Sita pamoja kuwaandalia chakula cha mchana katika hafla iliyofanyika
viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliofaulu Mitihani ya Taifa ya kidato cha Nne na
Sita pamoja na kuwaandalia chakula cha mchana, hafla iliyotayarishwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
Mwaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliohudhuria katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliofaulu Mitihani ya Taifa ya kidato cha Nne na Sita pamoja na kuwaandalia chakula cha mchana, hafla iliyotayarishwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu
Mjini Zanzibar
Wanafunzi wakichukua chakula katika hafla ya kuwapongeza
Wanafunzi waliofaulu Mitihani ya Taifa ya kidato cha Nne na Sita pamoja na chakula cha mchana katika hafla iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja
vya Ikulu Mjini Zanzibar
Baadhia ya Wanafunzi wakichukua chakula katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliofaulu Mitihani ya Taifa ya kidato cha Nne na Sita pamoja na chakula cha mchana katika hafla iliyoandaliwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati alipokuwa akiwapongeza Wanafunzi waliofaulu Mitihani ya Taifa ya kidato cha Nne na Sita pamoja
kuwaalika chakula cha mchana katika hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
Kongamano la 10 la Kisayansi na mkutano mkuu wa Wapatholojia.
05 Sep 2019
388
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Chama Cha Madaktari Tanzania Dr.Elisha Osati wakati wa mapokezi alipowasili katika ufunguzi wa Kongamano la 10 na Mkutano Mkuu wa Chama cha Wapatholojia (APT)Tanzania
lililofanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Vuga Mjini
Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mwenyekiti wa Chama cha Wapatholojia APT Dkt Charles Massambu mara banana ya mapokezi alipowasili katika ufunguzi wa Kongamano la 10 na Mkutano Mkuu wa Chama cha Wapatholojia (APT)wa Tanzania
lililofanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Vuga Mjini
Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Manzi moja Dk.Jamala Adam Taib wakati wa mapokezi alipowasili katika ufunguzi wa
Kongamano la 10 na Mkutano Mkuu wa Chama cha Wapatholojia (APT)wa Tanzania
lililofanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Vuga Mjini
Zanzibar
Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Manzi moja Dk.Jamala Adam
Taib (kushoto) pamopja na Wajumbe wengine wakiwa katika Kongamano la 10 na Mkutano Mkuu wa Chama cha Wapatholojia (APT) Tanzania liliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Vuga Mjini
Zanzibar
Wajumbe wa Kongamano la 10 na Mkutano Mkuu wa Chama cha
Wapatholojia (APT)wa Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua kongamano hilo
lililofanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Vuga Mjini
Zanzibar
BAADHI ya Wajumbe wa Kongamano la 10 na Mkutano Mkuu wa Chama cha Wapatholojia (APT)wa Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua kongamano hilo lililofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Vuga Mjini
Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akifungua Kongamano la 10 na Mkutano Mkuu wa Chama cha Wapatholojia (APT)wa Tanzania lililofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar
Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za smz
04 Sep 2019
598
Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Radhiya Rashid Haroub alipokuwa akisoma wa utekelezaji wa mpango kazi wa Mwaka wa
Fedha kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 wa Wizara hiyo katika mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(kulia) Naibu Katibu Mkuu Anayeshughulikia Tawala za
Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Ndg. Khalid Abdallah Omar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika
mkutano wa utekelezaji wa mpango kazi wa Mwaka wa Fedha kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Mkurugenzi wa Manispaa ya Mji wa Zanzibar Said Juma Ahmada
alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu Manispaa ya Mji wa Zanzibar wakati wa mkutano wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa,Serikali za
Mitaa na Idara Maalum za SMZ uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika
mkutano wa utekelezaji wa mpango kazi wa Mwaka wa Fedha kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Dk.Shein amekabithiwa Tunzo za Sinema zetu.
03 Sep 2019
408
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Tuzo ya Sinema Zetu na Waziri wa
Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Mhe. Balozi Ali Karume katika hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiangali CD za Michezo ya Wasanii wa Zanzibar zilizoshinda katika mashindano ya Tuzo ya Senima Zetu,Tanzania, baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Mhe. Balozi Ali Karume, hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibaer na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na kuwapongeza Wasanii wa Zanzibar kwa ushindi waliopata katika mashindano ya Sinema Zetu,walipofika Ikulu Zanzibar leo, kushoto kwa Rais Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Gavu na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Nd.Salum Maulid wakiwa na Wasanii wa Filamu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar na Uongozi wa Wasanii wa Filamu
Zanzibar waliosimama , waliokaa kulia kwa Rais Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Ali Karume,Bi.Maryam Hamdani Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa Zanzibar na Bi. Khadija Ibrahim Dau (Bi.Hawa) Makamu
Mwenyekiti wa Chama cha Wasanii wa Filamu Zanzibar na kushoto Naibu Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Lulu Msham Abdalla, Mshauri wa Rais Masuala ya Sanaa na Utamaduni Mhe. Chimbeni Kheri na Katibu Mkuu
Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Ndg Omar Hassan King.