State House Blog

Rais wa Zanzibar Dk.Shein awasili nchini akitokea nchini Ras Al Khaimah baada ya kumaliza ziara yake

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Mhe. Hassan Khatib Hassan,alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akitokea Nchi za Umoja wa Falme wa Nchi za Kiarabu (UAE)baada ya kumaliza ziara yake ya wiki moja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali vilioko Zanzibar,katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,baada ya kumaliza ziara yake ya wiki moja Ras Al Khaimah
  • MKURUGENZI wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Dkt. Juma Mohammed akiongoza mahojiano ya Waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali vilioko Zanzibar,katika ukumbiwa VIP Uwanjawa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali vilioko Zanzibar,katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,baada ya kumaliza ziara yake ya wiki moja Ras Al Khaimah
  • WAANDISHI wa Habari wa Vyombo mbali mbali vilioko Zanzibar wakifuatilia taarifa ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) akizungumzia ziara yake ya wiki moja Ras Al Khaimah, baada ya kuwasili Nchini Zanzibar

SMZ yatiliana saini na mfuko wa Khalifa Fund UAE

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mrithi wa Utawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi wa Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan,baada ya kumalizika kwa hafla ya utiaji wa saini na Mfuko wa Khalifa Fund, uliofanyika katika makaazi ya Mtawala huo Mjini Abu Dhabi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Mrithi wa Utawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi wa Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, wakishuhudia utiaji wa saini, kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar umewakilishwa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi.Mohamed Ramia Abdiwawa na kwa upande wa Mfuko wa "Khalifa Fund" umewakilisha na Mwenyekiti wa Mfuko wa “Khalifa Fund” Sheikh. Hussain Ali Nowais alisaini kwa niaba ya Serikali ya (UAE)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Mrithi wa Utawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi wa Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, wakishuhudia utiaji wa saini, kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar umewakilishwa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi.Mohamed Ramia Abdiwawa na kwa upande wa Mfuko wa "Khalifa Fund" umewakilisha na Mwenyekiti wa Mfuko wa “Khalifa Fund” Sheikh. Hussain Ali Nowais alisaini kwa niaba ya Serikali ya (UAE).
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja (kushoto) Mrithi wa Utawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi wa Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan,na Mwenyekiti wa Mfuko wa “Khalifa Fund” Sheikh. Hussain Ali Nowais, na kulia Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa.

Dk.Shein amekutana na Uongozi wa Taasisi ya Utafiti na Sera ya Sheikh Saud Al Qasimi.

  • Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sera na Utafiti ya Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi Ndg,Natasha Ridge (kushoto) akimkabidhi kitabu Maalumu cha Mitaala ya Elimu utoaji wa mafunzo ya kitaalamu ya kuwajengea uwezo walimu kuanzia ngazi ya Msingi hadi Sekondari Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati ujumbe wa Taasisi hiyo ulipofanya mazungumzo na Rais Dk.Shein na Ujumbe wake katika Hotel ya Waldorf Astoria Ras Al Khaimah.
  • Washiriki wa Mkutano wa pamoja kati ya ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Taasisi ya Sera na Utafiti ya Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi wakiongozwa na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh.Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakiwa katika mkutano ambao ulijadili kwa kina Masuala ya Elimu kwa pande zote mbili katika Ukumbi wa Hotel ya Waldorf Astoria Ras Al Khaimah.
  • Baadhi ya viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Mkutano maalumu na Taasisi ya Sera na Utafiti ya Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi nchini Ras Al Khaimah (U.A.E) ambapo wapo nchini humo na Mheshimiwa Rais Dk.Ali Mohamed Shein kwa Ziara maalumu ya siku saba (kushoto) Waziri wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mh.Mohamed Ramia Abdiwawa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi Gavu, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mh.Said Hassan Said na Waziri wa Ardhi,Ujenzi,Maji na Nishati Mh.Salama Aboud Talib
  • Washiriki wa Mkutano wa pamoja kati ya ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Taasisi ya Sera na Utafiti ya Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi wakiongozwa na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh.Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) wakiwa katika mkutano ambao ulijadili kwa kina Masuala ya Elimu kwa pande zote mbili katika Ukumbi wa Hotel ya Waldorf Astoria Ras Al Khaimah.


 

Dk.Shein na ujumbe wake wametembelea Kiwanda cha Uchimbaji wa Mafuta na Gesi (Rak Ges)

  • Baadhi ya Ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa mèneja uzalishaji wa kampuni ya Rak Gas (hatupo pichani) wakati ujumbe huo ulipofanyaziara katika Kiwanda hicho wakiwa katika ziara ya Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh.Dk Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa* *Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Kampuni ya Kimataifa ya Uchimbaji wa Mafuta na Gesi Asilia cha Ras Al Khaimah (RAK GAS) Peter Deibel (kushoto) wakati alipotembelea kiwanda hicho katika ziara Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

Ziara ya Rais wa Zanzibar Mhe:Dk Shein nchini Ras Al Khaimah

  • Meneja waMamlaka ya Maendeleo ya Utalii wa Serikali ya Ras Al Khaimah Bi.Navritu Rai akizungumza na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein mara baada ya kumalizika kwa mkutano.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akiwa pamoja na Mheshimiwa Mohammed Ali Musabah,Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenyeviwanda wa Ras Al Khaimah wakisikiliza kwa makini Taarifa inayohusiana na Utalii iliyowasilishwa na Meneja wa Mamlaka ya Maendeleo ya Utalii wa Serikali ya Ras Al Khaimah Bi.Navritu Rai.(hayupo pichani)Katika Mkutano uliofanyika Ras Al Khaimah.
  • Meneja waMamlaka ya Maendeleo ya Utalii wa Serikali ya Ras Al Khaimah Bi.Navritu Rai akizungumza na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein mara baada ya kumalizika kwa mkutano.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akiwasiliza kwa makini Viongozi wa Kampuni za Uwekezaji,Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenye Viwanda pamoja na Mamlaka za Vitega Uchumi za Ras Al Khaimah (Katika Ukumbi wa Hotel ya Waldorf Astoria Ras Al Khaimah)