State House Blog

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AMEWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA VIWANJA VYA NJE YA UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi wa ujenzi wa Viwanja vya nje ya Uwanja wa Amaan Zanzibar (kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN inayojenga Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar. Bw. Ilhan Karadeniz, hafla hiyo iliyofanyika jana usiku 14-12-2023
  • BAADHI ya Wafanyakazi wa Kampuni ya ORKUN inayojenga Uwanja wa Amaan Zanzibar na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanja vya Nje ya Uwanja wa Amaan Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika jana usiku 14-12-2023
  • WATOTO wa Kikundi cha Mchezo wa Karate cha Island Warriors Zanzibar wakionesha umahiri wa mchezo huo wakati wa uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanja vya Nje ya Uwanja wa Amaan Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika jana usiku 14-12-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia na kuwapongeza Wanafunzi wa Skuli ya Jangombe Unguja Fadhila Ibrahim na Sharifa Somea, baada ya kumaliza kutowa burudani ya Ngoma ya Kunguwia, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanja vya Nje ya Uwanja wa Amaan Zanzibar iliyofanyika jana usiku 14-12-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN inayojenga uwanja huo Bw. Ilhan Karadeniz, wakati akitembelea Viwanja vya Nje ya Uwanja wa Amaan Zanzibar baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi huo, hafla hiyo iliyofanyika jana usiku 14-12-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN inayojenga uwanja huo Bw. Ilhan Karadeniz, wakati akitembelea kiwanja cha ndani cha michezo wa mpira wa Kikapu katika Uwanja wa Amaan Zanzibar, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi huo, hafla hiyo iliyofanyika jana usiku 14-12-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN inayojenga uwanja huo Bw. Ilhan Karadeniz, wakati akitembelea Viwanja vya Nje ya Uwanja wa Amaan Zanzibar baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi huo, hafla hiyo iliyofanyika jana usiku 14-12-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Viongozi mbalimbali, alipowasili katika Uwanja wa Amaan kwa ajili ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa viwanja vya nje ya Uwanja wa Amaan Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika jana usiku 14-12-2023

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Nchini Bw.Shigeki Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Mgeni wake Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Nchini Tanzania Bw.Shigeki Komatsubara, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulia, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 14-12-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mgeni wake Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Nchini Tanzania Bw.Shigeki Komatsubara (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulia, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 14-12-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)Nchini Tanzania Bw.Shigeki Komatsubara, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 14-12-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.,Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Nchini Tanzania Bw. Shigeki Komatsubara , alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 14-12-2023

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Rais wa Taasisi ya YTB ya Uturuki.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Dr.Mehmet Gulluoglu, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wa Taasisi ya Ufadhili wa Masomo Nchini Uturuki (YTB) ukiongozwa na Rais wa taasisi hiyo Bw. Abdullah Eren (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Rais wa Taasisi ya Ufadhili wa Masomo Nchini Uturuki (TYB) kutoka Wizara ya Utamaduni na Utalii inayoshughulikia Mambo ya Nje (kulia kwa Rais) Bw. Abdullah Eren na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Dr.Mehmet Gulluoglu, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Rais wa Taasisi ya Ufadhili wa Masomo Nchini Uturuki (TYB) kutoka Wizara ya Utamaduni na Utalii inayoshughulikia Mambo ya Nje (kulia kwa Rais) Bw. Abdullah Eren na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Dr.Mehmet Gulluoglu, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania.Bw. Martin Seychell, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Bw.Martin Seychell (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania. Martin Seychell alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023, kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Bw.Martin Seychell, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Bw.Martin Seychell (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Bw. Martin Seychell, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameufungua Mkutano wa Kimataifa wa IDA 20

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Kimataifa wa Tathimini ya Muda,Wakati wa Mzunguko wa 20 wa Mapitio ya Benki ya Dunia (IDA20) akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 6-12-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa mkutano katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 6-12-2023, akimsikiliza Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Mhe. Dkt. Mwinguli Nchemba akizungumza,wakati wa Mkutano wa Kimataifa wa Tathimini ya Muda,Wakati wa Mzunguko wa 20 wa Mapitio ya Benki ya Dunia (IDA20) na (kulia kwa Rais) Rais wa Benki ya Dunia Mhe. Ajay Banga na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Kimataifa wa Tathimini ya Muda,Wakati wa Mzunguko wa 20 wa Mapitio ya Benki ya Dunia (IDA20) akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 6-12-2023
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Kimataifa wa Tathimini ya Muda Wakati wa Mzunguko wa 20 wa Mapitio ya Benki ya Dunia (IDA20) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 6-12-2023, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Kimataifa wa Tathimini ya Muda Wakati wa Mzunguko wa 20 wa Mapitio ya Benki ya Dunia (IDA20) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 6-12-2023, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa mkutano wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Jijini Zanzibar wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya kuaza kwa ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Tathimini ya Muda ,Wakati wa Mzunguko wa 20 wa Mapitio ya Benki ya Dunia (IDA 20) na (kulia kwa Rais) Rais wa Benki ya Dunia Mhe. Ajay Banga na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mkutano katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 6-12-2023, kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Tathimini ya Muda ,wakati wa Mzunguko wa 20 wa Mapitio ya Benki ya Dunia (IDA 20) akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, na (kulia kwa Rais) Rais wa Benki ya Dunia Mhe. Ajay Banga na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Mhe.Dkt. Mwingulu Nchemba na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais wa Benki ya Dunia Mhe.Ajay Banga, alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 6-12-2023, kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Tathimini ya Muda wakati wa Mzunguko wa 20 wa Mapitio ya Benki ya Dunia (IDA20) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum