State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameweka Jiwe la Msingi Mradi wa Hoteli ya Buhairan Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapiduzi Matukufu ya Zanzibar, uliofanyika leo 6-1-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhizwa zawadi maalumu inayoelezea Miradi mbalimbali ya ZIPA, akikabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Saleh Saad Mohamed, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff, wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapiduzi Matukufu ya Zanzibar, uliofanyika leo 6-1-2025.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhizwa zawadi maalumu inayoelezea Miradi mbalimbali ya ZIPA, akikabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Saleh Saad Mohamed, na (kushoto kwake) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff, wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapiduzi Matukufu ya Zanzibar, uliofanyika leo 6-1-2025
  • WASANII wa Kikundi cha Msondo kutoka Mkoa wa Kusini Unguja wakitowa burudani wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapiduzi Matukufu ya Zanzibar, uliofanyika leo 6-1-2025.
  • WANANCHI wa Mkoa wa Kusini na Wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapiduzi Matukufu ya Zanzibar, uliofanyika leo 6-1-2025

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja leo 6-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ayuob Mohammed Mahmoud na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Said Ahmed
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja leo 6-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ayuob Mohammed Mahmoud na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Said Ahmed
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Hoteli ya SSPD- Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff, uzinduzi huo uliyofanyika leo 6-1-2025 ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipata maelezo ya Mradi wa ujenzi wa Hoteli ya SSPD- Buhairan-Plan Hotel SA, inayojengwa Bwejuu kutoka kwa Meneja Mradi huo Bahaaedin Abdelmonem, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Hoteli hiyo uliofanyika leo 6-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Muwakilishi wa Familia ya Kifalme ya Abu Dhabi Dr.Mohammed Bin Omar na Meneja Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD- Buhairan-Plan Hotel SA. Bahaaedin Abdelmonem, alipowasili katika viwanja vya mradi huo kwa ajili ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli hiyo inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja leo 6-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Skuli ya Sekondari ya kwanza katika Kisiwa cha Tumbatu Ikiwa ii Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

  • WANANCHI wa Tumbatu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuifungua Skuli ya Kwanza ya Ghorofa ya Sekondari Tumbatu, iliyofunguliwa leo 4-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika chumba cha komputa, baada ya kuifungua Skuli ya Sokondari ya Tumbatu na kuwaangalia Wanafunzi Hussein Aboud na Nassra Ali, wakijisomea kupitia komputa , ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Skuli ya Sekondari Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 4-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Mattar Zahor Masoud, Mwakilishi wa Jimbo la Tumbatu Mhe.Haji Omar Kheri na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhammed Mussa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Ali Abdulgulam Hussein
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 4-1-2025, ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Mattar Zahor Masoud na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Tumbatu alipowasili kwa ajili ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya kwanza ya ghorofa, uzinduzi huo uliyofanyika leo 4-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Nyumba 72 za Makaazi na Biashara za Shirika la Nyumba Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi funguo Said Hamad Ramadhani, ni mmoja wa Mwananchi aliyenunua Nyumba ya Shirika la Nyumba Zanzibar, wakati wa hafla ya ufunguzi wa nyumba hizo, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto) Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaai Zanzibar Mhe.Rahma Kassim Ali
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi funguo Shinuna Salim Said, mmoja wa Mwananchi aliyenunua Nyumba ya Shirika la Nyumba Zanzibar, wakati wa hafla ya ufunguzi wa nyumba hizo, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto) Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaai Zanzibar Mhe.Rahma Kassim Al
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi katika hafla ya Ufunguzi wa Nyumba 72 za Makaazi na Biashara za Shirika la Nyumba Zanzibar, zilizojengwa katika eneo la Mombasa Kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi katika hafla ya Ufunguzi wa Nyumba 72 za Makaazi na Biashara za Shirika la Nyumba Zanzibar, zilizojengwa katika eneo la Mombasa Kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • BAADHI wa Mawaziri na Wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi katika hafla ya ufunguzi wa Nyumba 72 za Makaazi na Biashara za Shirika la Nyumba Zanzibar, zilizojengwa katika eneo la Mombasa Kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • VIJANA wa Uhamasishaji wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi wakati wa hafla ya ufunguzi wa Nyumba 72 za Makaazi na Biashara za Shirika la Nyumba Zanzibar, zilizojengwa katika eneo la Mombasa Kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akielekea katika sehemu ilioandaliwa kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi baada ya kuwe Jiwe la Msingi la ufunguzi Nyumba 72 za Shirika la Nyumba Zanzibar,ziliizojengwa katika eneo la Mombasa kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea moja ya Nyumba za Shirika la Nyumba Zanzibar, baada ya kuweka Jiwe la Msingi wa ufunguzi wa nyumba 72 za Makaazi na Biashara, zilizojengwa katika eneo la Mombasa kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Nyumba 72 za Makaazi na Biashara za Shirika la Nyumba Zanzibar, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba Zanzibar Sultan Said Suleiman akitowa maelezo ya kitalamu ya ujenzi wa nyumba 72 za Shirika hilo zilizojengwa katika eneo la Mombasa Kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

  • WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na Wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja, wakifuatilia hutuba Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, akihutubia katika viwanja vya kituo hicho leo 3-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 3-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • BAADHI ya Mawaziri, Viongozi wa Serikali na wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichai) akihutuba baada ya kukifungua Kituo hicho leo 3-1-2025, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na Wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja, wakifuatilia hutuba Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, akihutubia katika viwanja vya kituo hicho leo 3-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 3-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 3-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na Wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja, wakifuatilia hutuba Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi, akihutubia katika viwanja vya kituo hicho leo 3-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na Wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja, wakifuatilia hutuba Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akihutubia katika viwanja vya kituo hicho leo 3-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • BAADHI ya Mawaziri, Viongozi wa Serikali na wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichai) akihutuba baada ya kukifungua Kituo hicho leo 3-1-2025, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba
  • WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na Wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja, wakifuatilia hutuba Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akihutubia katika viwanja vya kituo hicho leo 3-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kukifungua Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 3-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Said Mohammed Dimwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said,(kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum na Mkurugenzi Muendeshaji wa ZSSF Nassor Shaban Ameir
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum (kushoto) kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 3-1-2025 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Nyumba 370 Kijiji Cha Bumbwini Kidazini Mkoa Wa Kaskazini Unguja.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN Alhan Karadeniz akitowa maelezo ya michoro ya nyumba zinazojengwa Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi huo,ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto kwake) Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed na Mshauri Elekezi wa Wakala wa Majengo Zanzibar Mhandisi Arafa Haji Ali

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mshauri Elekezi wa Wakala wa Majengo Zanzibar Mhandisi Arafa Haji Ali akitowa maelezo ya Kitaalamu ya Ujenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa nyumba hizo,ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mshauri Elekezi wa Wakala wa Majengo Zanzibar Mhandisi Arafa Haji Ali akitowa maelezo ya Kitaalamu ya Ujenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa nyumba hizo, (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN Ilhan Karadeniz na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed, ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mshauri Elekezi wa Wakala wa Majengo Zanzibar Mhandisi Arafa Haji Ali akitowa maelezo ya Kitaalamu ya Ujenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa nyumba hizo, (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Mattar Zahor Masoud na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN Ilhan Karadeniz, ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi hao baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi hao baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi hao baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • MUONEKANO wa baadhi ya Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitembelea Mradi wa nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Mradi huo, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia kwa Rais ) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Mattar Zahor Masoud na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed
  • WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi hao baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.