State House Blog

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzi na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Innocent Lugha Bashungwa (Mb) alipofika Ikulu

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzi na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Innocent Lugha Bashungwa (Mb) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha 11-11-2022, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Innocent Lugha Bashungwa alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 11-11-2022, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Innocent Lugha Bashungwa, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Innocent Lugha Bashungwa, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.leo 11-11-2022

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amehutubia maadhimisho ya Miaka Miwili ya Uongozi wake katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwa katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba, akihudhuria Maadhimisho ya Miaka Miwili ya Uongozi wake na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kasakazini Pemba Mhe. Salama Mbarouk Khatib 8-11-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya picha ya kuchora na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Zahro Mattar Masoud, wakati wa Maadhimisho ya Miaka Miwili ya Uongozi wake, yaliyofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba 8-11-2022.
  • BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakishangilia na kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka Miwili ya Uongozi wake,yaliyofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba
  • WANANCHI wa Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka Miwili ya Uongozi wake, iliyofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba leo 8-11-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk Khatib alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba kuhudhuria Maadhimisho ya kutimia Miaka Miwili ya Uongozi wake 8-11-2022
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wananchi na Viongozi wa Serikali wakati Kikundi cha Taraab cha Wajelajela wakitowa burudani katika Maadhimisho ya Miaka Miwili ya Uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, iliyofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba 8-11-2022
  • WASANII wa Kikundi cha Mwinyi Mpeku na Mau Fundi wakitowa burudani wakati wa Maadhimisho ya Miaka Miwili ya Uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi yaliyofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba 8-11-2022.
  • VIONGOZI wa Serikali na Vyama vya Siasa na Wananchi wa Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka Miwili ya Uongozi wake, yaliyofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba
  • WANANCHI wa Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka Miwili ya Uongozi wake, iliyofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba leo 8-11-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka Miwili ya Uongozi wake yaliyofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba 8-11-2022

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk,Hussein Mwinyi amefungua mkutano 7th Pan African Humanitarian & Investment Summit Zanzibar 2022”.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi Maalum kutoka Serikali ya Seychelles akikabidhiwa na Rais Mstaaf wa Seyshelles Mhe.Danny Faure, wakati wa ufungfuzi wa mkutano wa “7th Pan African Humanitarian & Investment Summit Zanzibar 2022, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Wilaya ya Magharibi “B” leo 8-11-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum ya mfano wa Samaki na Balozi wa Heshima wa Seychelles Nchini Tanzania Mhe.MaryVonne Pool, baada ya kuufungua wa mkutano wa “7TH Pan African Humanitarian &Investment; Summit Zanzibar 2022”, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembe samaki Unguja Wilaya ya Magharibi “B” 8-11-2022.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua mkutano wa “7TH Pan African Humanitarian &Investment; Summit Zanzibar 2022” uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Wilaya ya Magharibi “B” 8-11-2022.

  • WASHIRIKI wa Mkutano wa “7TH Pan African Humanitarian & Investment Summit Zanzibar 2022” wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Wilaya ya Magharibi “B” 8-11-2022

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amekutana na wajumbe wa Bodi ya BOT ukiongozwa na Gavana wa BOT Prof Florens Luoga Pwat.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa BOT, ukiongozwa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 7-11-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 7-11-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo akiwa na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa BOT na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa BOT,ukiongozwa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 7-11-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa BOT kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amekutana na kuzungumza na Naibu Katibu wa Idara ya Kilimo ya Marekani Dkt.Jewel Bronaugh Ikulu Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu wa Idara ya Kilimo ya Marekani Dkt.Jewel Hairston Bronaugh alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 4-11-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Naibu Katibu wa Idara ya Kilimo ya Marekani Dkt.Jewel Hairston Bronauagh alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 4-11-2022.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalum ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Naibu Katibu wa Idara ya Kilimo ya Marekani Dkt.Jewel Hairston Bronaugh, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-11-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Naibu Katibu wa Idara ya Kilimo ya Marekani Dkt.Jewel Hairston Bronauagh alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 4-11-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Naibu Katibu wa Idara ya Kilimo ya Marekani Dkt.Jewel Hairston Bronaugh alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 4-11-2022.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Naibu Katibu wa Idara ya Kilimo ya Marekani Dkt.Jewel Hairston Bronaugh, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-11-2022.