State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Soko Jipya la Mwanakwerekwe Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Soko Jipya la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 26-10-2024, ikiwa na Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali Awamu ya Nane Zanzibar
  • WAFANYABIASHARA,Wananchi na Wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Soko hilo leo 26-10-2024, baada ya kukamilika kwa ujenzi wake, ikiwa na Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali Awamu ya Nane Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Soko Jipya la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 26-10-2024, ikiwa na Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali Awamu ya Nane Zanzibar.
  • VIJANA wa Uhamasishaji wa “Stronger With Mwinyi” wakishangilia katika hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja uliofanyika leo 26-10-2024, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo picha) akihutubia na kulifungua Soko hilo leo 26-10-2024
  • WAFANYABIASHARA,Wananchi na Wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Soko hilo leo 26-10-2024, baada ya kukamilika kwa ujenzi wake, ikiwa na Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali Awamu ya Nane Zanzibar
  • WAFANYABIASHARA,Wananchi na Wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Soko hilo leo 26-10-2024, baada ya kukamilika kwa ujenzi wake, ikiwa na Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali Awamu ya Nane Zanzibar
  • MUONEKANO wa Soko Jipya la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, lililofunguliwa leo 26-10-2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husssein Ali Mwinyi, ikiwa na Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali Awamu ya Nane Zanzibar.

Rais wa Zanbzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Maonesho ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Tamasha la Maonesho ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • WASHIRIKI wa Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2014, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Tamasha hilo linalofanyika katika Viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Tamasha la Maonesho ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
  • WASHIRIKI wa Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2014, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Tamasha hilo linalofanyika katika Viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Jarida la “The Flying Fox” linaliitangaza Pemba na Kuifungua Kiuchumi, akikabidhiwa na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Hazina 024.Ndg.Hakimu Kimara, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Tamasha la Maonesho ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutokwa kwa Bi.Christina Lucas wa Kampuni ya Fishermen Tour & Travel Ltd, wakati akitembelea maonesho ya Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya picha ya mlima wa Kilimanjaro kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi Mkuu wa Kitengo cha Maendeleo ya Biashara Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA). Jully Bede Lyimo, wakati akitembelea maonesho ya Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutokwa kwa Bi.Christina Lucas wa Kampuni ya Fishermen Tour & Travel Ltd, wakati akitembelea maonesho ya Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitembelea banda la maonesho la Kampuni ya Ozti Zanzibar akipata maelezo kutoka kwa Fatma Jaffar Khamis, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed(kushoto) kuweka Jiwe l

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed(kushoto) kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni, Charawe na Bwejuu Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja, uzinduzi huo uliyofanyika leo 24-10-2024, ikiwa ni Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ai Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Husseinmwinyi amezindua Barabara Mkoa wa Kusini Unguja

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Jozani, Ukongoroni, Charawe na Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja, uzinduzi huo uliuofanyika leo 24-10-2024, ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Mzee Haji Suleiman akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, baada ya kuwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Charawe Wilaya ya Kati Unguja. Baada ya uzinduzi wa Barabara ya Jozani, Ukongoroni, Charawe na Bwejuu uliyofanyika leo 24-10-2024, ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wazee wa Kijiji cha Charawe Wilaya ya Kati Unguja, baada ya uzinduzi wa Barabara ya Jozani, Ukongoroni,Charawe na Bwejuu uliyofanyika leo 24-10-2024, ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
  • WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja na Wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar wakifuatiulia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni,Charawe na Bwejuu uliyofanyika leo 24-10-2024
  • VIJANA wa Uhamasishaji wakishangilia katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni, Charawe na Bwejuu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika viwanja vya mpira Ukongoroni leo 24-10-2024,wakati wa uzinduzi wa Barabara hiz.
  • BAADHI ya wageni waalikwa Mabalozi Wadogo wanaofanyia kazi zao Zanzibar, wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Barabara za Jozani,Ukongoroni, Charawe na Bwejuu Wilaya ya Kati Unguja, uzinduzi huo uliyofanyika leo 24-10-2024, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika viwanja vya mpira Ukongoroni
  • MASHEHA wa Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatiulia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni, Charawe na Bwejuu uliyofanyika leo 24-10-2024
  • VIJANA wa Uhamasishaji wakishangilia katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni, Charawe na Bwejuu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika viwanja vya mpira Ukongoroni leo 24-10-2024,wakati wa uzinduzi wa Barabara hizi.
  • VIJANA wa Uhamasishaji wakishangilia katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni, Charawe na Bwejuu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika viwanja vya mpira Ukongoroni leo 24-10-2024,wakati wa uzinduzi wa Barabara hizi
  • WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja na Wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar wakifuatiulia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni,Charawe na Bwejuu uliyofanyika leo 24-10-2024.
  • WANANCHI wa Kijiji cha Charawe Wilaya ya Kati Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Kijiji hicho, wakati akikagua Barabara hiyo leo 24-10-2024
  • MZEE wa Kijiji cha Charawe Wilaya ya Kati Unguja Khamis Abdallah Hatib (Babalao) akizungumza na kutowa shukrani kwa niaba ya Wananchi wa Kijiji hicho, kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akikagua Barabara ya Jozani, Ukongoroni,Charawe na Bwejuu, wakati wa hafla ya ufunguzi Barabara hizo uliyofanyika leo 24-10-202, ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameifungua Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, kwa ajili ya ufunguzi wa Skuli hiyo, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakijumuika na Wanafunzi wa katika chumba cha Maktaba ya Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kuifungua leo 23-10-2024,kukamilika kwa ujenzi wake,ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakijumuika na Wanafunzi wa katika chumba cha Maktaba ya Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kuifungua 23-10-2024, kukamilika kwa ujenzi wake,ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 23-10-2024,ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na wanafunzi wa skuli ya Sekondari ya Mkokotoni wakati akiifungua iliyopo Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakijumuika na Wanafunzi wa katika chumba cha Maktaba ya Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kuifungua leo 23-10-2024,kukamilika kwa ujenzi wake,ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakijumuika na Wanafunzi wa katika chumba cha Maktaba ya Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kuifungua leo 23-10-2024,kukamilika kwa ujenzi wake,ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ndg.Khamis Abdallah Said, wakati akitembelea Darasa la Komputa katika Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni baada ya kuifungua leo 23-10-2024 kukamilika kwa ujenzi wake,ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar, (kushoto kwa Mama) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 23-10-2024,ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar, (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto ) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemned Suleiman Abdulla na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa

  • MUONEKANO wa Jengo jipya la Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, iliyofunguliwa leo 23-10-2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia na kuifunguwa Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar, na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Rashid Hadid Rashid na (kulia kwake) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa
  • BAADHI ya Viongozi na Walimu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuifunguwa Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
  • BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Chama, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuifunguwa Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
  • BAADHI ya Wanafunzi mbalimbali wa Skuli za Msingi na Sekondari Mkoa wa Kaskazini Unguja wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi Machano Haji Machano wa Kidatu cha Sita Skuli ya Sekondari ya Mkwajuni, wakati wa akitembelea chumba cha maabara cha Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni baada ya kuifungua leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar, na (kushoto kwa Rais)Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi, akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi Maryam Ussi Kombo,wa Kidatu cha Sita Skuli ya Sekondari ya Mkwajuni, wakati wa akitembelea chumba cha maabara cha Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni baada ya kuifungua leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdullah