State House Blog

Rais Wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amewaapisha Majaji wa Mahakama kuu Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Haji Suleiman Khamis(Tetere) kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar,kabla alikuwa Wakili wa Kujitegemea
  • Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar wakiwa katika hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar walioteuliwa hivi karibuni, iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Salum Hassan Bakari kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar,kabla alikuwa Naibu Mrajis wa Mahkama Kuu
  • wanasheria Mkuu Zanzibar Dkt. Mwinyi Talib Haji,Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Ndg.Saleh Juma Mussa wakiwa katika hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar walioteuliwa hivi karibuni, katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Bi.Khadija Shamte Mzee kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar,kabla alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar
  • Baadhi ya Majaji wa mahkama Kuu ya Zanzibar wakishudia Majaji wapya wa Mahakama Kuu walipoapishwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar.
  • Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman pamoja na Viongozi wengine wakiwa hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar walioteuliwa hivi karibuni, katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • MAJAJI wa Mahkama Kuu Zanzibar wakifuatilia kuapishwa kwa Majaji wa Mahkamu Kuu Zanzibar walioteuliwa hivi karibu, wakati wakiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi , hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidi hati ya kiapo Mhe. Haji Suleiman Khamis (Tetere) baada ya kumuapisha kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya Kiapo ya Mhe. Salum Hassan Mzee, baada ya kumuapisha kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Haji Suleiman Khamis (Tetere) kuwa Jaji wa Hahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo ya kuapisha iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi hati ya kiapo Mhe. Khadija Shamte Mzee baada ya kumuapisha kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo ya kuapisha iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akumuapisha Mhe.Salum Hassan Bakari kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Khadija Shamte Mzee kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023
  • WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia kuapishwa kwa Majaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, walioteuliwa hivi karibuni, wakiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023
  • MAJAJI wateule wa Mahkama Kuu Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar wakisubiri kuapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa Majaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023 na kutoka (kulia ) Mhe. Khadija Shamte Mzee, Mhe. Salum Hassan Bakari na Mhe. Haji Suleiman Khamis (Tetere)
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya kuwaapisha Majaji wa Mahkama Kuu Zanzibar akiowateua hivi karibuni, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdullah, hafla hiyo ya kuapisha iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Ameufungua Mkutano wa Mawaziri wa Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka Nchi 22 Wanachama.

  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka Nchi 22 Wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF-Afritac East) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam leo 15-11-2023, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka Nchi 22 Wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF-Afritac East) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam 15-11-2023, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka Nchi 22 Wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF-Afritac East) unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam leo 15-11-2023, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mkutano katika Hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka nchi 22 wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF-Afritac East) na (kulia kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Mhe.Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila.
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka Nchi 22 Wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF-Afritac East) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam leo 15-11-2023, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amewapongeza Wanafunzi wa Kidatu Cha Nne Na Sita Zanzibar kwa Kufaulu Vizuri Mitihani yao ya Taifa.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza na kumkabidhi zawadi Mwanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya FEZA Zanzibar Hassan Hafidh Ussi, kwa kufanya vizuri Mtihani wake wa Taifa wa Kidatu cha Sita 2023 kwa kupata Daraja la Kwanza , wakati wa hafla maalum aliyowaandalia kwa ajili ya kuwapongeza na kujumuika nao katika Chakula Maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023 na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
  • BAADHI ya Wanafunzi wa Skuli za Sekondari Zanzibar za binafsi na Serikali wakiwa na zawadi zao walizokabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa hafla maalum ya kuwapongeza kwa kufaulu vizuri Mitihani yao ya Taifa, na kujumuika nao katika hafla maalum ya chakula alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne na Sita wa Skuli za Sekondari Zanzibar, waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kufuuli kwa Daraja la Kwanza, wakati hafla maalum aliyowaandaliwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar 12-11-2023 na kujumuika nao katika chakula maalum alichowandalia
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne na Sita wa Skuli za Sekondari Zanzibar, waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kufuuli kwa Daraja la Kwanza, wakati hafla maalum aliyowaandaliwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023 na kujumuika nao katika chakula maalum alichowandalia
  • WANAFUNZI wa Kidatu cha Nne 2022 na wa Kidatu cha Sita 2023 wa Skuli mbalimbali za Sekondari Zanzibar za Serikali na Binafsi, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya kuwapongeza kwa kufanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza, na kujumuika nao katika chakula maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023
  • WALIMU wa Skuli za Sekondar Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne 2022 na wa Kidatu cha Sita 2023 kwa kufanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza, wakati wa hafla maalum ya kuwapongeza na kujumuika nao katika chakula maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne na Sita wa Skuli za Sekondari Zanzibar, waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kufuuli kwa Daraja la Kwanza, wakati hafla maalum aliyowaandaliwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi , na kujumuika nao katika chakula maalum alichowandalia
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwatunza Wanafunzi Aisha na Khadija wakisoma Utenzi maalum wa kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne na Sita kwa kufaulu vizuri katika Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza wakati wa hafla ya chakula maalum kilichoandaliwa kwa ajili yao katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023
  • WANAFUNZI wa Kidatu cha Nne 2022 na wa Kidatu cha Sita 2023 wa Skuli mbalimbali za Sekondari Zanzibar za Serikali na Binafsi, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya kuwapongeza kwa kufanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza, na kujumuika nao katika chakula maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023.
  • WALIMU wa Skuli za Sekondar Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne 2022 na wa Kidatu cha Sita 2023 kwa kufanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza, wakati wa hafla maalum ya kuwapongeza na kujumuika nao katika chakula maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023

Ufunguzi wa Taasisi ya Madras (IIT) Kampasi ya Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea tunzo kutoka kwa Balozi wa India Nchini Mhe.Binaya Srikanta Pradhan (kulia) wakati wa hafla ya ufunguzi wa Taasisi ya Teknolojia ya Madras (IIT) Kampasi ya Zanzibar katika kijiji cha Fumba Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amekutana na kuzungumza na Balozi wa Astralia Nchini Tanzania Luke Williams Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Australia Nchini Tanzania Mhe. Luke Williams, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Australia Nchini Tanzania Mhe.Luke Williams (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar mgeni wake Balozi wa Australia Nchini Tanzania Mhe.Luke Williams, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar