State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi Mgeni Rasmiin Maulidi ya kuzaliwa Mtume Muhammad SAW katika kijiji cha Jongowe Tumbatu

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Jongowe Tumbatu wakati wa hafla ya Maulidi ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) yaliyofanyika leo 1-10-2024,katika Kijiji hicho cha Jongwe Wilaya Ndogo ya Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuka na Viongozi na Wananchi wa Jongowe Tumbatu katika kuitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Maulidi ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) ya Wananchi wa Jongowe Tumbatu yaliyofanyika leo 1-10-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Jongowe Tumbatu wakati wa hafla ya Maulidi ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) yaliyofanyika leo 1-10-2024,katika Kijiji hicho cha Jongwe Wilaya Ndogo ya Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu iliyotolewa na Wananchi wa Jongowe Tumbatu, akikabidhiwa na Mwanafunzi wa Madrasatul Jawhar Atfal Jongowe Khamis Mohammed Hamza, wakati wa hafla ya Maulidi ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) yaliyofanyika leo 1-10-2024 katika Kijiji hicho
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Hussein Ali Mwinyi akitia ubani kuyafungua Maulidi ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) ya Kijiji cha Jongowe Tumbatu yaliyofanyika leo 1-10-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Madrasatul Jawhar Atfal (kushoto kwa Rais) Khamis Mohammed Hamza na (kulia kwa Rais) Yahya Suleiman Haji, akiwa na zawadi maalumu aliyokabidhiwa wakati wa hafla ya Maulidi ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad(SAW) ya Kijiji cha Jongowe Tumbatu yaliyofanyika leo 1-10-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuyafungua Maulidi ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) yaliyofanyika katika Kijiji cha Jongowe Wilaya Ndogo ya Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja 1-10-2024, na (kushoto kwa Rais) Mwakilishi wa Jimbo la Tumbatu Mhe. Haji Omar Kheri na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais,Katiba,Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Alhajj Haroun Ali Suleiman na (kulia kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Mahmoud Mussa Wadi na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.
  • WANANCHI wa Jongowe Wilaya Ndogo ya Tumbatu, Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimpokea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa ajili ya kuhudhuria Maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) yaliyofanyika leo 12-10-2024 katika Kijiji hicho.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wazee wa Jongowe Wilaya Ndogo ya Tumbatu, alipowasili katika kijiji hicho kwa ajili ya kuhudhuria Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) yaliyofanyika leo 1-10-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wazee wa Jongowe Wilaya Ndogo ya Tumbatu, alipowasili katika kijiji hicho kwa ajili ya kuhudhuria Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) yaliyofanyika leo 1-10-2024