State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu ya Rais (Muungano na Mazingira) Ikulu Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) ukiongozwa na Waziri wa Wizara hiyo.Mhe.Ashatu Kijaji (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ashatu Kijaji, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais(Muungano na Mazingira) Mhe. Ashatu Kijaji (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-9-2024, walipofika kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais(Muungano na Mazingira) Mhe. Ashatu Kijaji (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-9-2024, walipofika kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha.