State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.,Hussein Ali Mwiny amefungua Mkutano wa 11 wa Tanzania Health Summit katika ukumbi wa Viwanja vya Maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalumu ya kuthamini Mchango wake katika Sekta ya Afya, iliyotolewa na Tanzania Health Summit, akikabidhiwa na Muazilishi wa Taasisi hiyo Dr.Omar Chilo, wakati wa hafla ya ufungaji wa Mkutano huo wa 11 uliyofanyika katika ukumbi wa Viwanja vya Maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B”Unguja, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalumu ya kuthamini Mchango wake katika Sekta ya Afya, iliyotolewa na Tanzania Health Summit, akikabidhiwa na Muazilishi wa Taasisi hiyo Dr.Omar Chilo, wakati wa hafla ya ufungaji wa Mkutano huo wa 11 uliyofanyika katika ukumbi wa Viwanja vya Maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B”Unguja
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa 11 wa “Tanzania Health Summit 2024” wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Viwanja vya Maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutbia na kuufunga Mkutano wa 11 wa “Tanzania Health Summit 2024” uliyofanyika Zanzibar katika ukumbi wa Viwanja vya Maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, uliyoshirikisha Wadau mbalimbali wa Sekta ya Afya
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Dr.Wilfred Senyoni wa Taasisi ya “HISP tz” Wakati akitembelea maonesho ya Tanzania Health Summit, kabla ya kuufungua mkutano huo wa 11,uliyofanyika katika ukumbi wa viwanja vya Maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B”Unguja na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Hassan Khamis Hafidh
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa 11 wa “Tanzania Health Summit 2024” wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Viwanja vya Maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa 11 wa “Tanzania Health Summit 2024” wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Viwanja vya Maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa 11 wa “Tanzania Health Summit 2024” wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Viwanja vya Maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Dr.Amy Niambo Ndao Fall wa Taasisi ya “Sanofi Global Health Unit”. Wakati akitembelea maonesho ya Tanzania Health Summit, kabla ya kuufungua mkutano huo wa 11, uliyofanyika katika ukumbi wa viwanja vya Maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B”Unguja na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui