State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Princess Sophie Ikulu Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu kutoka kwa mgeni wake Princess Sophie (Duchess of Edinburgh) baada ya kumaliza mazungomzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Princess Sophie (Duchess Edinburgh) baada ya kumaliza mazungimzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Princess Sophie (Duchess Edinburgh) baada ya kumaliza mazungimzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Princess Sophie (Duchess Edinburgh) (kushoto kwa Rais) wakiwa katika tabasamu wakati wakibadilishana mawazo na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-9-2024

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Princess Sophie (Duchess Edinburgh) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalumu ya Kasha mgeni wake Princess Sophie (Duchess of Edinburgh) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalumu ya Kasha mgeni wake Princess Sophie (Duchess of Edinburgh) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalumu ya Kasha mgeni wake Princess Sophie (Duchess of Edinburgh) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu kutoka kwa mgeni wake Princess Sophie (Duchess of Edinburgh) baada ya kumaliza mazungomzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Princess Sophie (Duchess of Edinburgh) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-9-2024