Rais wa Zanzibar Mhe,Dk.Hussein Mwinyi amefungua Kituo cha Kisasa cha Ukaguzi na Upasishaji Gari Do kwasilva Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Ukaguzi wa Vyombo vya Moto Dole Kwasilva, Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 11-2-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kufungua Kituo cha Kisasa cha Ukaguzi wa Vyombo vya Moto Dole Kwasilva, Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 11-2-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Ukaguzi wa Vyombo vya Moto Dole Kwasilva, Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 11-2-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Mratibu wa Mradi wa Kituo cha Ukaguzi na upasishaji wa Gari Dole kwasilva Kim Lee, (kulia kwa Rais) baada ya kukifungua Kituo hicho leo 11-2-2025 kilioko katika eneo la Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja na (kushoto kwa Rais) Naibu Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe. Nadir Abdullatif Yussuf Al-Wardy
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, akitembelea Kituo cha Kisasa cha Ukaguzi na Upasishaji wa Gari Dole kwasilva Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, akimsikiliza Mratibu wa Mradi wa Kituo cha Ukaguzi na upasishaji wa Gari Dole kwasilva Kim Lee, (kushoto kwa Rais) akitowa maelezo na (kulia kwa Rais) Muwekezaji Mzalendo wa Kituo hicho cha Kisasa Mhe. Toufiq Salim Turky. baada ya kukifungua leo 11-2-2025 kilioko katika eneo la Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
BAADHI ya Wageni waalikwa na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo Pichani) akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Ukaguzi na Upasishaji wa Gari Dole Kwasilva Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 11-2-2025 katika eneo la Dole
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa Kituo cha Kisasa cha Ukaguzi na Upasishaji wa Gari Dole Kwasilva, uzunduzi huo uliyofanyika leo 11-2-2025 katika eneo la Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa Kituo cha Kisasa cha Ukaguzi na Upasishaji wa Gari Dole Kwasilva, uzunduzi huo uliyofanyika leo 11-2-2025 katika eneo la Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja.
BAADHI ya Wageni waalikwa na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi (hayupo Pichani) akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Ukaguzi na Upasishaji wa Gari Dole Kwasilva Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 11-2-2025 katika eneo la Dole
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Mratibu wa Mradi wa Kituo cha Ukaguzi na upasishaji wa Gari Dole kwasilva Kim Lee, (kushoto kwa Rais) akitowa maelezo ya mitambo ya ukaguzi na upasishaji wa gari katika Kituo hicho, baada ya kukifungua leo 11-2-2025 kilioko katika eneo la Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Mratibu wa Mradi wa Kituo cha Ukaguzi na upasishaji wa Gari Dole kwasilva Kim Lee, (kushoto kwa Rais) akitowa maelezo ya mitambo ya ukaguzi na upasishaji wa gari katika Kituo hicho, baada ya kukifungua leo 11-2-2025 kilioko katika eneo la Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Mratibu wa Mradi wa Kituo cha Ukaguzi na upasishaji wa Gari Dole kwasilva Kim Lee, (kulia kwa Rais) baada ya kukifungua Kituo hicho leo 11-2-2025 kilioko katika eneo la Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja na (kushoto kwa Rais) Naibu Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe. Nadir Abdullatif Yussuf Al-Wardy.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Mratibu wa Mradi wa Kituo cha Ukaguzi na upasishaji wa Gari Dole kwasilva Kim Lee, (kushoto kwa Rais) akitowa maelezo ya mitambo ya ukaguzi na upasishaji wa gari katika Kituo hicho, baada ya kukifungua leo 11-2-2025 kilioko katika eneo la Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
RAIS WA ZANZIBAR MHE DK.HUSSEIN MWINYI MGENI RASMIN KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, zilizoadhimishwa katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-2-2025
BAADHI ya Wafanyakazi wa Mahkama Zanzibar,Wageni waalikwa na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, iliyofanyika katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-2-2025.
BAADHI ya Wafanyakazi wa Mahkama Zanzibar,Wageni waalikwa na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, iliyofanyika katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-2-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha Ripoti ya Utendaji Kazi wa Mahkama Zanzibar kwa Mwaka 2024,baada ya kuizindua leo 10-2-2025 na (kushoto kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdalla, watika wa Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, zilizoadhimishwa katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-2-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, zilizoadhimishwa katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-2-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma Jarida la Mizani ya Haki za Mahkama, wakati wa hafla ya Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-2-2025 na (kushoto kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla.
BAADHI ya Wafanyakazi wa Mahkama Zanzibar,Wageni waalikwa na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, iliyofanyika katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-2-2025
BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, iliyofanyika katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-2-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitabu cha Muongozo wa Urejeshaji Mali kwa Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdalla, baada ya kukizindua leo 10-2-2025, katika Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar