State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Wachezaji wa Timu ya Simba na Viongozi wao Ikulu Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Simba na Viongozi wao, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-9-2024, wakiwa Zanzibar kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, dhidi ya Timu ya Azam unatakaofanyika katika uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar 26-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Wachezaji wa Timu ya Simba na Viongozi wao, waliofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo Timu ya Sima wakiwa Zanzibar kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, dhidi ya Timu ya Azam unatakaofanyika katika uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar 26-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini mpira kwa ajili ya kumbukumbu kwa Timu ya Simba, baada ya kumaliza mazungumzo na Wachezaji na Viongozi wa Timu hiyo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhia Jezi ya Timu ya Simba na Nahodha wa Timu hiyo Mohammed Hussein, baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wachezaji wa Timu ya Simba na Viongozi wao, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-9-2024, wakiwa Zanzibar kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, dhidi ya Timu ya Azam unatakaofanyika katika uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wachezaji wa Timu ya Simba na Viongozi wao, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-9-2024, wakiwa Zanzibar kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, dhidi ya Timu ya Azam unatakaofanyika katika uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar