State House Blog

Rais wa Zanzibar ameshiriki maadhimisho ya siku ya Mji Mkongwe katika viwanja vya Bustani ya Forodhani

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Mji Mkongwe Zanzibar, yaliyofanyika katika viwanja vya Bustani ya Forodhani Jijini Zanzibar leo 2-12-2024 Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipaka rangi Msikiti wa Ijumaa Forodhani Jijini Zanzibar baada ya kuzindua upakaji wa rangi nyumba za Mji Mkongwe Zanzibar, uzinduzi huo uliofanyika leo 2-12-2024, katika Maadhimisho ya Siku ya Mjini Mkongwe Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Infinity Group Samuel Saba na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.maadhimisho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Bustani ya Forodhani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo 2-12-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said,wakitembela maonesho ya Wajasiriamali katika viwanja vya Forodhani Wilaya ya Mjini Unguja, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mji Mkongwe Zanzibar, Maadhimisho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya bustani ya Forodhani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja