State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu ya Rais (Muungano na Mazingira) Ikulu Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) ukiongozwa na Waziri wa Wizara hiyo.Mhe.Ashatu Kijaji (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ashatu Kijaji, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais(Muungano na Mazingira) Mhe. Ashatu Kijaji (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-9-2024, walipofika kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais(Muungano na Mazingira) Mhe. Ashatu Kijaji (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-9-2024, walipofika kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Wachezaji wa Timu ya Simba na Viongozi wao Ikulu Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Simba na Viongozi wao, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-9-2024, wakiwa Zanzibar kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, dhidi ya Timu ya Azam unatakaofanyika katika uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar 26-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Wachezaji wa Timu ya Simba na Viongozi wao, waliofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo Timu ya Sima wakiwa Zanzibar kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, dhidi ya Timu ya Azam unatakaofanyika katika uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar 26-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini mpira kwa ajili ya kumbukumbu kwa Timu ya Simba, baada ya kumaliza mazungumzo na Wachezaji na Viongozi wa Timu hiyo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhia Jezi ya Timu ya Simba na Nahodha wa Timu hiyo Mohammed Hussein, baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wachezaji wa Timu ya Simba na Viongozi wao, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-9-2024, wakiwa Zanzibar kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, dhidi ya Timu ya Azam unatakaofanyika katika uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wachezaji wa Timu ya Simba na Viongozi wao, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-9-2024, wakiwa Zanzibar kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, dhidi ya Timu ya Azam unatakaofanyika katika uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amehutubia Maadhimisho ya Miaka 60 ya Elimu Bila Malipo Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kombe la Nidhamu Afisa Elimu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mohammed Shamte, Mkoa huo kuibuka msindi wa nidhamu kwa mwaka huu 2024, wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Elimu Bila Malipo Zanzibar, zilizofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Jijini Zanzibar leo 23-9-2024, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Elimu Bila Malipo Zanzibar, zilizofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Jijini Zanzibar leo 23-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Elimu Bila Malipo Zanzibar, zilizofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Jijini Zanzibar leo 23-9-2024
  • BAADHI ya Wageni waalikwa na Wakuu wa Idara za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Elimu Bila Malipo Zanzibar, zilizofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar leo 23-9-2024
  • WANAFUNZI wa Skuli za Msingi wa Unguja na Pemba wakishiriki katika Halaiki ya kuadhimisha Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Elimu Bila Malipo Zanzibar, zilizofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Jijini Zanzibar leo 23-9-2024
  • WANAFUNZI ya Skuli mbalimbali wa Unguja na Pemba wakifuatilia sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Elimu Bila Malipo Zanzibar, yaliyoadhimishwa katika Uwanja wa New Amaan Complex Jijini Zanzibar leo 23-9-2024
  • WANAFUNZI wa Skuli za Msingi wa Unguja na Pemba wakishiriki katika Halaiki ya kuadhimisha Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Elimu Bila Malipo Zanzibar, zilizofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Jijini Zanzibar leo 23-9-2024
  • WANAFUNZI wa Skuli za Msingi wa Unguja na Pemba wakishiriki katika Halaiki ya kuadhimisha Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Elimu Bila Malipo Zanzibar, zilizofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Jijini Zanzibar leo 23-9-2024
  • WANAFUNZI wa Skuli mbalimbali za Unguja na Pemba wakishiriki katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Elimu Bila Malipo Zanzibar, yaliyoadhimisha leo 23-9-2024 katika Uwanja wa New Amaan Complex Jijini Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea Maandamano ya Wanafunzi wa Skuli mbalimbali za Unguja na Pemba wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Elimu Bila Malipo Zanzibar, zilizofanyika katika Uwanja wa New Amaan Copmlex Jijini Zanzibar leo 23-9-2024 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa

  • WANAFUNZI wa Skuli mbalimbali Zanzibar wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Miaka 60 ya Elimu Bila Malipo Zanzibar wakiwa na picha za Marais wa Awamu mbalimbali wa Zanzibar, maadhimisho hayo yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Jijini Zanzibar leo 23-9-2024.
  • WANAFUNZI wa Skuli za Mahitaji Maalumu Zanzibar wakishiriki katika Maandamano ya Kuadhimisha Miaka 60 ya Elimu Bila Malipo Zanzibar, maadhimisho hayo yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Jijini Zanzibar leo 23-9-2024

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya Shukran Palace Michamvi Mkoa wa Kusini Unguja

  • WAGENI waalikwa na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Shukran Palace Michamvi Mkoa wa Kusini Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuifungua hoteli hiyo ufunguzi huo uliyofanyika leo 21-9-2024

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya Mradi wa Hoteli ya Shukran Palace Michamvi Mkoa wa Kusini Unguja, muwekezaji wa mradi huo Tinu Mhajan (kushoto kwa Rais) ufunguzi huo uliofanyika leo 21-9-2024

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Maua na Mtoto Gracious Dickson Kiweli, aliyendaliwa kwa ajili ya hafla hiyo ya ufunguzi wa Hoteli ya Shukran Palace Michamvi Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 21-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya Mradi wa Hoteli ya Shukran Palace Michamvi Mkoa wa Kusini Unguja, muwekezaji wa mradi huo Tinu Mhajan (kushoto kwa Rais) ufunguzi huo uliofanyika leo 21-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya Mradi wa Hoteli ya Shukran Palace Michamvi Mkoa wa Kusini Unguja, muwekezaji wa mradi huo Tinu Mhajan (kushoto kwa Rais) ufunguzi huo uliofanyika leo 21-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Hoteli ya Shukran Palace Michamvi Mkoa wa Kusini Unguja na (kushoto) ni Muwekezaji wa Mradi huo Bi.Kiran Mhajan na familia yake, ufunguzi huo uliyofanyika leo 21-9-2024 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wawekezaji wa Mradi wa Hoteli ya Shukran Palace (MADA) alipowasili katika viwanja vya Hoteli hiyo Michamvi Mkoa wa Kusini Unguja, kwa ajili ya ufunguzi wa hoteli hiyo uliyofanyika leo 21-9-2024, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Shariff Ali Shariff
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wawekezaji wa Mradi wa Hoteli ya Shukran Palace (MADA) alipowasili katika viwanja vya Hoteli hiyo Michamvi Mkoa wa Kusini Unguja, kwa ajili ya ufunguzi wa hoteli hiyo uliyofanyika leo 21-9-2024, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Shariff Ali Shariff

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Princess Sophie Ikulu Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu kutoka kwa mgeni wake Princess Sophie (Duchess of Edinburgh) baada ya kumaliza mazungomzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Princess Sophie (Duchess Edinburgh) baada ya kumaliza mazungimzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Princess Sophie (Duchess Edinburgh) baada ya kumaliza mazungimzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Princess Sophie (Duchess Edinburgh) (kushoto kwa Rais) wakiwa katika tabasamu wakati wakibadilishana mawazo na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-9-2024

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Princess Sophie (Duchess Edinburgh) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalumu ya Kasha mgeni wake Princess Sophie (Duchess of Edinburgh) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalumu ya Kasha mgeni wake Princess Sophie (Duchess of Edinburgh) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalumu ya Kasha mgeni wake Princess Sophie (Duchess of Edinburgh) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu kutoka kwa mgeni wake Princess Sophie (Duchess of Edinburgh) baada ya kumaliza mazungomzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Princess Sophie (Duchess of Edinburgh) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-9-2024