Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)
30 Jan 2024
73
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi amekutana na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchin.
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi akipokea zawadi kutoka kwa Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi akizungumza na na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini katika ofisi za ZMBF Ikulu Migombani tarehe: 30 Januari 2024.
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, alipofika Ofisini kwake kwa lengo la kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini.
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, alipofika Ofisini kwake kwa lengo la kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini.
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, alipofika Ofisini kwake kwa lengo la kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini.
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, alipofika Ofisini kwake kwa lengo la kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini.
Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, akizungumza na Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi alipofika katika ofisi yake kwa lengo la kumuaga .
Rais wa Zanzibar na MBLM DK.Mwinyi ameagana na Balozi mdogo wa china.
29 Jan 2024
51
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar,Alipofika Ikulu kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini tarehe :29 Januari 2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini tarehe :29 Januari 2024, Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na afisa wa Ubalozi mdogo wa China ambapo Mheshimiwa Rais amekutana na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi Tanzania.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini tarehe :29 Januari 2024, Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini tarehe :29 Januari 2024, Ikulu Zanzibar.
Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, akizungumza na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipofika Ikulu akimuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini tarehe :29 Januari 2024, Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini tarehe :29 Januari 2024, Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea zawadi kutoka kwa Mheshimiwa Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini tarehe :29 Januari 2024, Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea zawadi kutoka kwa alozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini tarehe :29 Januari 2024, Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar, kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini tarehe :29 Januari 2024, Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng pamoja na ujumbe wake alipofika Ikulu Zanzibar, kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini tarehe :29 Januari 2024, Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussei Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Balozi Mdogo wa China hapa Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng, baada ya mazungumzo yao alipofika kuaga Ikulu Jijini Zanzibar akimaliza muda wake wa kazi.
Mahafali ya 23 katika Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Chukwani Zanzibar
27 Jan 2024
49
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi mbali mbali wengine alipowasili katika mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili, Shahada,Diploma na vyeti yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume (wa nne kulia) pamoja na Viongozi wengine alipowasili katika mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili,Shahada,Diploma na vyeti yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokea Zawadi maalum kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume, katika sherehe za mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili,Shahada,Diploma na vyeti yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume (katikati) wakifuatana pamoja na Viongozi wengine wakielekea katika viwanja vya sherehe za mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili,Shahada,Diploma na vyeti yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimkabidhi Zawadi Mwanafunzi bora wa Sheriah na Sheria za Kiislamu Ndg, Mohamed Ali Hassan katika sherehe za mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili,Shahada,Diploma na vyeti yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi (kushoto) Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimkabidhi Zawadi Mwanafunzi bora wa Shahada ya Sanaa na Elimu katika kiingerezaa na Kiswahili Ndg,Juwaira Ali Omar, katika sherehe za mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili,Shahada,Diploma na vyeti yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi (kushoto) Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume (kulia) alipokuwa akimkaribisha mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) kuzungumza na hadhara katika sherehe za mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili, Shahada,Diploma na vyeti yaliyofanyika leo Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi
Baadhi ya wanafunzi wa fani mbali mbani katika Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar wakiwa katika sherehe za mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili ,Shahada,Diploma na vyeti yaliyofanyika leo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akizungumza katika sherehe za mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili,Shahada,Diploma na vyeti yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi
Wahadhiri katika Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait University, Chukwani Zanzibar wakiwa katika sherehe za
mahafali ya 23 ya kutunukiwa na kutoa Shahada ya Uzamili ,Shahada,Diploma na vyeti yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
Taarab Rasmi na Chakula Ikulu.
12 Jan 2024
57
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Ranzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi baada ya kumaliza kwa hafla ya Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiagana na Makamo wa Rais wa Burundi Mhe.Prosper Bozombaza wakati wa kumalizika kwa Hafla ya Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Kikunchi cha Taarab cha Taifa cha Muzicul Club wakitumbiiza Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifuatana na Viongozi wengine wakienda kutunza wakati Vikundi vya Taarab vilipotumbiza jana Ikulu katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Baadhi ya Viongozi na waalikwa mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa (katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla (wa pili kushoto) Makamo Mwenyekiti wa CCM Bara Mhe.Abdulrahman Kinana (kushoto) Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Doto Biteko na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman wakiwa katika hafla ya Taarab rasmi na chakula cha Usiku katika viwanja vya Ikulu jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Baadhi ya Viongozi na waalikwa mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Ranzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa mgeni wa heshma katika Hafla ya Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan na Makamo wa Rais wa Burundi Mhe.Prosper Bozombaza.
Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Zanzibar.
12 Jan 2024
69
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono maelfu ya wananchi katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono maelfu ya wananchi katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikagua Gwaride la Heshma la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan wakisimama wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar, ambapo Viongozi mbali mbali wa Kimataifa walihudhuria.
Kikosi FFU cha Jeshi la Polisi wakitoa salamu ya Heshma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
Kikosi cha Bendera cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakitoa salamu ya Heshma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyiakiwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar.
Viongozi mbali mbali wakisimama wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar.mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
Viongozi mbali mbali wakisimama wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar.mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
Vijana wa Chipukizi wakibeba Picha ya Rais wa Kwanza wa ZanzibAR mAREHEMU mZRR aBEID aMANI kARUME WAKATI WA kILELERais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikagua Gwaride la Heshma la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
Kikosi cha Magereza wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa haraka katika sherehe za maadhimisho ya Kilele cha miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
Wazee wa Miaka 60 ya Mapinduzi wakiimba wimbo maalum na kurusha Njiwa katika sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zilizofanyika leo
katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
Kikosi cha Bendera cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa pole katika sherehe za maadhimisho ya Kilele cha miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
Kikosi cha Jeshi la Polisi Wananwake wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa pole katika sherehe za maadhimisho ya Kilele cha miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
Kikundi cha Brass Band cha Chipukizi wakiongoza maandamano ya Wananchi na Taasisi mbali mbali katika kusherehekea maadhimisho ya Kilele cha miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
Wafanyakazi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto wakipita mbe ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati wa Maandamano ya Wananchi na Taasisi mbali mbali katika kusherehekea maadhimisho ya Kilele cha miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
Vijana wa Chipukizi wakibeba Picha za Marais Wastaafu wa Zanzibar wa Awamu zilizopita katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
Vijana wa Chipukizi wakibeba Picha ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume pamoja na Bendera katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar