Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Seriikali Tanzania Be.Charles Kichere Ikulu
05 Sep 2022
174
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Charles E. Kichere (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo,5-9-2022 (kulia kwake) Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt.Othman Abass Ali.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Charles E. Kichere (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-9-2022, na (kushoto kwa Rais) Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt.Othman Abass Ali.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Charles E. Kichere (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo,5-9-2022 (kulia kwake) Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt.Othman Abass Ali, wakiwa na ujumbe wao.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Charles E. Kichere (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo,5-9-2022 (kulia kwake) Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt.Othman Abass Ali.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na wahariri wa vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari Ikulu Zanzibar.
05 Sep 2022
287
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa habari mbalimbali, mkutano uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-9-2022.
WAHARIRI wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa habari mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wao uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-9-2022.
MWANDISHI wa habari wa Redio One na ITV Zanzibar Ndg. Faruok Karim akiuliza swali wakati wa Mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) na Wahariri wa Habari na Waandishi wa Habari uliofanyika leo 5-9-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa habari mbalimbali, mkutano uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-9-2022.
KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said akifuatilia mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa habari mbalimbali uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-9-2022, (kushoto kwake) Katibu wa Rais Mhe.Masoud Balozi na Dkt Haji Makame Ussi.