State House Blog

Uzinduzi wa Meli ya Kwanza ya Makontena ya awamu 1 na makabidhiano ya Bandari ya Mkoani kwa Kampuni ya Fumba Port kwa ajili ya Uendeshaji wa Bandari hiyo.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi Maalumu ya picha ya Meli ya Kampuni ya CMA CGM na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo “East Africa Cluster” Naveen Prabhu, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Meli ya Kwanza ya Makontena ya Amu 1 na Makabidhiano ya Bandari ya Mkoani kwa Kampuni ya Fumba Port Limited, hafla hiyo iliyofanyika katika bandari ya Mkoani Pemba leo 30-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Meli ya Kwanza ya Makontena ya Amu 1 na Makabidhiano ya Bandari ya Mkoani Pemba kwa Kampuni ya Fumba Port Limited kwa ajili ya Uendeshaji wa Bandari hiyo, hafla ya uzinduzi huo iliyofanyika katika viwanja vya Bandarini Mkoani leo 30-9-2024.

  • WAGENI waalikwa na Wananchi wa Mkoani Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika viwanja vya Bandari Mkoani Pemba, wakati wa Uzinduzi wa Meli ya Kwanza ya Makontena ya Amu 1 na Makabidhiano ya Bandari ya Mkoani kwa Kampuni ya Fumba Port Limited kwa ajili ya uendeshaji wa Bandari hiyo, hafla ya uzinduzi iliyofanyika leo 30-9-2024

  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwake) Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe. Dkt.Khalid Salum Mohammed na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Mattar Zahor Masoud, wakishangilia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Meli ya Kwanza ya Makontena ya Ami 1 na Makabidhiano ya Bandari ya Mkoani kwa Kampuni ya Fumba Port Limited kwa ajili ya uendeshaji wa Bandari hiyo, hafla hiyo iliyofanyika leo 30-9-2024 katika Bandari ya Mkoani Pemba Mkoa wa Kusini Pemba
  • WAGENI waalikwa na Wananchi wa Mkoani Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika viwanja vya Bandari Mkoani Pemba, wakati wa Uzinduzi wa Meli ya Kwanza ya Makontena ya Amu 1 na Makabidhiano ya Bandari ya Mkoani kwa Kampuni ya Fumba Port Limited kwa ajili ya uendeshaji wa Bandari hiyo, hafla ya uzinduzi iliyofanyika leo 30-9-2024
  • VIJANA wa Uhamasishaji wakishangilia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Meli ya Kwanza ya Makontena ya Amu 1 na Makabidhiano ya Bandari ya Mkoani Pemba kwa Kampuni ya Fumba Port kwa ajili ya uendeshaji wa Bandari hiyo, hafla hiyo iliyofanyika leo 30-9-2024

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti wa Fumba Port.Mohammed Jaffar, wakati wa Uzinduzi wa Meli ya Kwanza ya Makontena ya Ami 1 ya Kampuni ya Lamu Shipping Limited , na Makabidhiano ya Bandari ya Mkoani kwa Kampuni ya Fumba Port kwa uendeshaji wa Bandari hiyo, uzunduzi huo uliyofanyika leo 30-9-2024