State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amewaapisha Viongozi aliowateuwa hivi karibuni.Hafla hiyo iliyofanyika Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya kiapo ya Ndg.Hiji Dadi Shajak,baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazaji Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 14-11-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
  • MHE Iddi Said Khamis akisaini hati ya kiapo baada ya kumaliza kuapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,kuwa Kadhi wa Mahkama ya Kadhi ya Rufaa Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 14-11-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Hiji Dadi Shajak,kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazaji Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 14-11-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
  • VIONGOZI Wateule walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi, wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar wakipitia hati zao za kiapo kabla ya kuapishwa leo 14-11-2024 (kushoto ) Mhe. Iddi Said Khamis, ameteuliwa kuwa Kadhi wa Mahkama ya Kadhi ya Rufaa Zanzibar na Ndg. Hiji Dadi Shajak, ameteuliwa kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazaji Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Iddi Said Khamis kuwa Kadhi wa Mahkama ya Kadhi ya Rufaa Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 14-11-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said

Rais wa Zanbzibar amezungumza na Uongozi wa Benki ya Stanbic Tanzania Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Stanbic Tanzania Patrick Rutabanzibwa, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 13-11-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Stanbic Tanzania Patrick Rutabanzibwa (kulia kwa Rais) akiongoza Ujumbe wa Uongozi wa Benki hiyo, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 13-11-2024

Uzinduzi wa mradi wa soko jipya la kisasa la Jumbi lililopo Wilaya ya Magharibi B , Mkoa wa Mjini Magharibi.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiondoa kipazia kuashiria ishara ya kulizindua soko jipya la kisasa la Jumbi lililopo Wilaya ya Magharibi B , Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 27 Oktoba 2024.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akipata maelezo kutoka kwa Mjasiriamali wa soko kuu la Jumbi baada ya kulifungua soko hilo liliopo Wilaya ya Magharibi B , Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 27 Oktoba 2024.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwasili katika eneo la mradi wa soko jipya la kisasa la Jumbi lililopo Wilaya ya Magharibi B , Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 27 Oktoba 2024.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwakagua wajasiriamali na wafanya biashara wadogo wadogo mara baada ya kufika katika mradi wa soko jipya la kisasa la Jumbi kwa nia ya kulifungua Soko hilo lipo Wilaya ya Magharibi B , Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 27 Oktoba 2024.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Soko Jipya la Mwanakwerekwe Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Soko Jipya la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 26-10-2024, ikiwa na Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali Awamu ya Nane Zanzibar
  • WAFANYABIASHARA,Wananchi na Wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Soko hilo leo 26-10-2024, baada ya kukamilika kwa ujenzi wake, ikiwa na Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali Awamu ya Nane Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Soko Jipya la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 26-10-2024, ikiwa na Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali Awamu ya Nane Zanzibar.
  • VIJANA wa Uhamasishaji wa “Stronger With Mwinyi” wakishangilia katika hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja uliofanyika leo 26-10-2024, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo picha) akihutubia na kulifungua Soko hilo leo 26-10-2024
  • WAFANYABIASHARA,Wananchi na Wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Soko hilo leo 26-10-2024, baada ya kukamilika kwa ujenzi wake, ikiwa na Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali Awamu ya Nane Zanzibar
  • WAFANYABIASHARA,Wananchi na Wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Soko hilo leo 26-10-2024, baada ya kukamilika kwa ujenzi wake, ikiwa na Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali Awamu ya Nane Zanzibar
  • MUONEKANO wa Soko Jipya la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, lililofunguliwa leo 26-10-2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husssein Ali Mwinyi, ikiwa na Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali Awamu ya Nane Zanzibar.

Rais wa Zanbzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Maonesho ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Tamasha la Maonesho ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • WASHIRIKI wa Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2014, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Tamasha hilo linalofanyika katika Viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Tamasha la Maonesho ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
  • WASHIRIKI wa Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2014, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Tamasha hilo linalofanyika katika Viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Jarida la “The Flying Fox” linaliitangaza Pemba na Kuifungua Kiuchumi, akikabidhiwa na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Hazina 024.Ndg.Hakimu Kimara, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Tamasha la Maonesho ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutokwa kwa Bi.Christina Lucas wa Kampuni ya Fishermen Tour & Travel Ltd, wakati akitembelea maonesho ya Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya picha ya mlima wa Kilimanjaro kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi Mkuu wa Kitengo cha Maendeleo ya Biashara Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA). Jully Bede Lyimo, wakati akitembelea maonesho ya Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutokwa kwa Bi.Christina Lucas wa Kampuni ya Fishermen Tour & Travel Ltd, wakati akitembelea maonesho ya Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitembelea banda la maonesho la Kampuni ya Ozti Zanzibar akipata maelezo kutoka kwa Fatma Jaffar Khamis, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.