Toggle navigation
Leave this field blank
President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar
Home
President's Office
Overview
Vision & Mission
President
Past Presidents
Administration
Revolutionary Council
Office of the President
Media
News and Events
Speeches and Statements
Press Releases
Photos
Videos
Videos 2
Publications
Speeches
Action Plans
Publications
Reports
Budgets
Blog
Contact Us
Videos
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza alipokutana na Uongozi wa Benki ya Stanbic Tanzania ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki hiyo Patric
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, alipofungua Ofisi na Maabara
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza katika viwanja vya Gombani, Mkoa wa Kaskazini Pemba,
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, akipokea baadhi baadhi ya Kadi za wanachama wa Chama cha Upizani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi Jumatano 30 Oktoba, 2024 ameshiriki katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Kimataifa wa Familia Doha nchini Qatar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi leo katika siku ya kwanza ya ziara yake nchini Qatar ambapo mapema asubuhi alikutana na Waziri wa nchi wa Qatar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akiendelea na ziara yake Doha,Qatar alitembelea kituo kikubwa cha kujitolea cha Qatar kinachojishughulisha na kutoa misaada kwa wenye mahitaji
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akiendelea na ziara yake Doha,Qatar alitembelea kituo kikubwa cha kujitolea cha Qatar kinachojishughulisha na kutoa misaada kwa wenye mahitaji m
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameondoka nchini kuelekea Doha,Qatar ambapo anatarajia kushiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa kutimia miaka Thelathini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza alipofungua soko jipya la kisasa la Jumbi, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 27 Oktoba 2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishirikiTamasha la kumpongeza Mhashamu Askofu Agustino N.Mweleli Shao C.s.s.p kwa utume wake na kuiombea amani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza alipofungua soko jipya la ghorofa mbili la Mwanakwerekwe, Wilaya ya Magharibi B, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza alipofungua maonesho ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar, 2024 katika viwanja vya maonesho ya Biashara Nyamanzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza alipofungua Ijitimai ya Sita katika Msikiti wa Fissabilillah Tabligh Markaz, Kidoti, Mkoa wa Kaskazini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza alipofungua Skuli mpya ya Sekondari ya ghorofa tatu, Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, ikiwa ni mwendelezo
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati uweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo la Idara ya Uhamiaji la Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Zanzibar,
Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa wito kwa nchi wanachama za Jumuia ya Maendeleo Kusini mwa bara la Afrika, SADC, kuona haja za kuziimarisha taasisi zao zinazosimamia utawala bora zikiwemo Ofisi ya Mkaguz
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza alipofungua Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Maonesho ya Taasisi mbalimbali
MKE wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Mama Mariam Mwinyi ameinasihi jamii kuendeleza mema yote ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani hata baada ya kumalizika kwa ibada za mfungo huo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi wa Dini na Serikali alipowasili katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Maghari
Alhaji Dk Mwinyi amelihutubia Baraza la Iddi
Vedio ya kutoa mkono wa Iddi Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa skukuu ya mkono wa Iddi kwa wananchi mbali mbali waliofika katika viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wenye mahitaji maalumu kwa makundi mbalimbali Mkoa wa Kusini Unguja katika Futari maalum
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Dk. Mwinyi akizungumza leo katika hitma na Dua Maalum ya kumuombea aliyekuwa Rais wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzani
Ziara ya Mhe: Rais wa Zanzibar soko la Jumbi
Rais Dk.Mwinyi ameifariji Familia ya Lowassa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika Maadhimisho ya siku ya sheria Zanzibar viwanja vya Mahkama kuu Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika jukwaa la wawekezaji wa Tanzania na Marekani.
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ametembelea Dahalia la wavulana Skuli ya Sekondari Kengeja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini wa sheria mpya nne viwanja vya Ikulu Zanzibar tarehe :01 Februari 2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Naibu Waziri wa Maliasili wa China Mhe.Sun Shuxian na ujumbe wake Ikulu Zanzibar tarehe: 28 Januari 2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF) Jenerali Jacob John Mkunda alipofika Ik
Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi, katika kuadhimisha Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema ina nia ya kulibadilisha eneo la Dimani kua la biashara la Kimataifa na kubadili taswira halisi ya eneo hilo kuwa la mvuto wa uwekezaji.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi wa Mradi wa Kituo cha kisasa wa Mabasi Kijangwani kinachojengwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-Wakil
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Naibu Mkurugenzi Mkuu Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Martin Seychell na ujumbe wake Ikulu Zanzibar tarehe 7 D
Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Ameufungua Mkutano wa Mawaziri wa Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka Nchi 22 Wanachama
Maafa
Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo hai, leo katika Viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi leo amepokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Rais wa Zanzibar amekutana na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza.
Mahafali ya Ishirini(20) ZU Tunguu
Wafanyakazi wa Afisi ya Rais Pemba wamempokea Rais wa Zanzibar
Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Ndg. Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa wafanyakazi wa Ofisi yake Ikulu Zanzibar.
Dk. Mwinyi amezindua Taasisi ya Afisi ya Rais ya Ufuatiliaji na Usimamizi wa Utendaji Serikalini ( PDB), hafla iliofanyika katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar
Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuna umuhimu wa Taifa kuongeza wataalamu wenye uwezo wa hali ya juu, ili kuongeza ufanisi katika kukabiliana na magonjwa ya figo hapa nchini.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mheshimiwa Chariottan Ozaki Macias
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa 6 wa Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika, mkutano huo uliyofanyika katika ukumb
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na wahariri wa vyombo vya Habari na waandishi wa Habari Ikulu Zanzibar
Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika
Mkutano wa Mhe:Rais Jumuia ya Istiqama Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia na Wananchi waliofika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kupokea mkono wa Eid Fitry
Mashindano ya Kimataifa ya kuhifadhi Qurani Tanzania.
Ziara ya Rais wa Zanzibar na MBLM Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Kisiwani Pemba 13/04/2022
Ziara ya Rais wa Zanzibar na MBLM Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Kisiwani Pemba
Ziara ya Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Kisiwani Pemba
Mkutano na waandishi wa Habari
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amehudhuria kumbikizi ya mwaka mmoja wa hayati John Pombe Magufuli uwanja wa Magufuli Chato Mkoani Geita.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Mkutano wa kwanza wa Mwaka wa Asasi za kiraia Zanzibar.
Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Mkutano wa Kimataifa wa uwekezaji Sekta ya Maji Barani Afrika
Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)
Taarifa kwa vyombo vya Habari
Maadhimisho ya siku ya wanawake Ulimwenguni.
Rais wa Zanzibar Mhe,Dk.Hussein Ali Mwinyi amekuatana na Balozi wa Indinesia Nchini Tanzania
Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na mfanyabiashara na mdau wa utalii Duniani Bw. Nicholas Reynolds
Ufunguzi wa Hospitali ya Kidimni Zanzibar
Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka watumishi wa umma kufanya kazi kwa kuzingatia haki na uadilifu kwa kutambua dhima kubwa waliyonayo kwa Mwenyezi Mungu
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Zanzibar Maishabora Foundation Bi.Mwanaidi Mohamed Ali akizunagumza na Waandishi mbali mbali kwa uzinduzi wa Taasisi hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Kamishna Mkuu wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Salum Yussuf Ali
Hotuba ya ufunguzi wasemina ya Makatibu Wakuu na watendaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
Salam za Mhe: Mama Mariam Mwinyi
Hutuba ya Rais na Waandishi wa Habari - Jan 2022
Dk.Hussein Ali Mwinyi amefanya mahojiano na waandishi kutoka vyombo mbali mbali vya habari hapa nchini
Dk. Hussein Ali Mwinyi amezungumza na waandfishi wa vyombo vya Habari
Mkutano na Waandishi wa Habari tarehe 31 Januari 2022 Ikulu Zanzibar
Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza hatua za Serikali ya Ujerumani za kurejesha uhusiano na ushirikiano wa kimaendeleo kati yake na Zanzibar.
Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza hatua za Serikali ya Ujerumani za kujesha uhusiano na ushirikiano wa kimaendeleo kati yake na Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua maadhimisho ya wiki ya Sheria Tanzania inayofanyika Jijini Dodoma.
Raisi Dk.Hussein Ali Mwinyi atoa Salamu za Winter Olympics 2022
English
Swahili