News and Events

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka waumin wa Dini ya Kiislamu Shehiya ya Unguja Ukuu, kutumia vyema msikiti wa Al-Noor kwa ajili ya kujadili matatizo yanayoihusu jamii na kuyatafutia ufumbuzi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka waumin wa Dini ya Kiislamu Shehiya ya Unguja Ukuu, kutumia vyema msikiti wa Al-Noor kwa ajili ya kujadili matatizo yanayoihusu… Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amehudhuria Mahafali ya 40 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika katika uwanja wa Mao Ze Dong, Zanzibar.

CHUO Kikuu Huria cha Tanzania kimetakiwa kuangalia mitaala yake jinsi itakavyosaidia kuandaa Wataalamu watakaoweza kutekeleza dhamira ya kujenga uchumi mpya unaozingatia matumizi ya rasilimali za bahari au uchumi… Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameigiza Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) kuhakikisha changamoto iliyojitokeza ya ukosefu wa maji kwa baadhi ya maeneo ya Mji wa Zanzibar inapatiwa ufumbuzi wa haraka

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameigiza Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) kuhakikisha changamoto iliyojitokeza ya ukosefu wa maji kwa baadhi ya maeneo ya Mji wa Zanzibar… Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza iwapo bahari itatumika ipasavyo itasaidia kwa kiasi kikubwa kutekeleza dhana ya uchumi wa Buluu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kwamba iwapo bahari itatumika ipasavyo hatua hiyo itasaidia kwa kiasi kikubwa kutekeleza dhana ya uchumi wa Buluu ambayo inahusisha… Read More

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kushirikiana na Kampuni za DNATA na EGIS katika uendeshaji wa Huduma za Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Terminal III

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi amesema uamuzi wa Serikali wa kushirikiana na Kampuni za National Air Travel Agency (DNATA) pamoja na EGIS katika uendeshaji wa Huduma za… Read More