Toggle navigation
Leave this field blank
President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar
Home
President's Office
Overview
Vision & Mission
President
Past Presidents
Administration
Revolutionary Council
Office of the President
Media
News and Events
Speeches and Statements
Press Releases
Photos
Videos
Videos 2
Publications
Speeches
Action Plans
Publications
Reports
Budgets
Blog
Contact Us
Ikulu
State House Zanzibar
State House Zanzibar
Media
News and Events
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Rais wa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) Patrice Motsepe aliefika Ikulu Zanzibar tarehe 19 Disemba 2024
Media
News and Events
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emmanuel Tutuba pamoja na ujumbe wake waliofika Ikulu Zanzibar tarehe 19 Disemba 2024.
Media
News and Events
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi na Waziri wa Nchi Ofisi Ofisi ya Rais Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa Haroun Ali Suleiman katika hafla ya maadhimisho ya Kilele cha wiki ya Ukaguzi ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Zanzibar iliyofanyika katika ukumbi wa Ziwani Polisi .
Media
News and Events
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi nyenzo za kufanyika Kazi Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi ya BMF Balozi Liberata Mulamula, baada ya kuizindua Bodi hiyo hiyo leo 14-12-2024 katika ukumbi wa Jengo la Mkapa Foundation Kawe Jijini Dar es Salaam
Media
News and Events
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Hospital ya MIOT Nchini India ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dr.Prithivi Mohandas (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-12-2024 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
President
H.E. Dr. Hussein Ali Mwinyi
President of Zanzibar and Chairman of Revolutionary Council
Talk to the President
News and Events
Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewahakikishia wananchi kuwa Serikali ina mipango thabiti, Madhubuti na mizuri ya kupata fedha kwaajili ya maendeleo zaidi
20 Dec 2024
by Ikulu Staff
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Rais wa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) Patrice Motsepe aliefika Ikulu Zanzibar tarehe 19 Disemba 20
19 Dec 2024
by Ikulu Staff
Dk. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mjini, Hamid Seif Said
19 Dec 2024
by Ikulu Staff
Dk. Mwinyi amesema kushuka kwa Dola kutapunguza bei za bidhaa nchini.
19 Dec 2024
by Ikulu Staff
More News and Events
Videos
Facebook
Publications
Hotuba ya Mheshimiwa Dr. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika Sherehe ya uwekaji wa jiwe la Msingi, Jengo la Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Mjini Magharibi.
19 Apr 2024
Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk Hussein Ali Mwinyi katika uzinduzi wa Duru ya kwanza ya Utoaji wa Vitalu kwa Kampuni kwa Maeneo ya Baharini
20 Mar 2024
Dk.Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi
21 Feb 2024
SALAMU ZA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHESHIMIWA, DK. HUSSEIN ALI MWINYI KWENYE KUAGA MWILI WA MAREHEMU EDWARD NGOYAI LOWASSA, WAZIRI MKUU MSTAAFU WA JAMHURI YA MUUNGANO.
13 Feb 2024
English
Swahili