• Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein,
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,
  • Zanzibar State House

News and Events

06
Jul
2017

Dk.Shein ameondoka nchini kuelekea nchini Uingereza kwa safari maalum ya wiki mbili.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, ameondoka nchini leo kuelekea nchini Uingereza kwa safari maalum ya wiki mbili.

04
Jul
2017

Uongozi wa Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko, Bodi ya Wakurugenzi ya ZSTC wakutana na Dk.Shein


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa mabadiliko yaliyofanywa na Serikali ndani ya Shirika la Biashara la Taifa…

03
Jul
2017

Dk.Shein ameipongeza ZURA kwa kuanza kazi zake vyema tena kwa muda mfupi


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza matumaini yake makubwa kwa kuundwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na…

01
Jul
2017

Dk.Shein amemtumia salamu za rambi rambi Rais wa Benki ya Maendelea ya Afrika Dk. Akinwumi Adesina


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, amemtumia salamu za rambi rambi Rais wa Benki ya Maendelea ya Afrika (AfDB) Dk. Akinwumi…

More on News and Events

Subscribe to Update

About the President's Office


Dr. Ali Mohamed Shein

H.E. Dr. Ali Mohamed Shein
President of Zanzibar and Chairman of Revolutionary Council


Action Plans

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akifanya mahojiano na Watoto Nabil Mohamed Said na Ahmed Mohamed Said  (kushoto) waliofika Ikulu Mjini Unguja kutoka Shirika la Utangazaji ZBC kwa ajili ya kutayarisha Kipindi cha Watoto sambamba na Sikukuu ya  Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan Tarehe 26 Juni 2017.  MEMBERS LOGIN

WEBMAIL LOGIN